Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-

1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.

Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia

Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi

Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani

Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.

Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani

Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama

Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.

Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Chadema imefikia bei hamna tena jambo apo, Mbowe heshi safari za Ikulu, Tundu Lissu sasa anafanya tours mara Tanzania mara Belgium, hawezi tena kuish Tz bila huko belgium kwenye maisha yake
 
Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-

1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.

Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia

Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi

Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani

Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.

Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani

Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama

Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.

Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Usimfananishe Samia na vitu vya hovyohovyo. Kwenye siasa Samia ni Profesa labda alinganishwe na Kikwette tu. Mkapa alikuwa ni reformer wakati Nyerere alikuwa ni Panafricanist. Magufuli alikuwa ni takataka tu
 
Tofauti ys magufuli na wapumbavu ni moja tu magufuli alikuwa anajenga uchumi wakati wapumbavu wanajenga siasa na kuua uchumi...swali ukiambiwe uchague kiongozi mwenye kuangaika na siasa au kiongozi mwenye kuangsikia uchumi utachagua nini ?
Politics ndio Ina run economics..... Usipo manage political dynamics hata huo uchumi hautoweza Jenga. Mfano Trump kama angefanya "siasa" angeteua hata black kuwa waziri wa ulinzi n.k unadhani angepingwa?? Kwenye siasa it's all about image and perception sio "uhalisia". Mfano JK alilipa bunge la 9 meno Ili "litumbue mawaziri mzigo" bila yeye kuonekana "kawasaliti" wenzake.

That's politics
 
Mbali na kutojua siasa Magu pia alikuwa mjinga
Mtu mwenye akili asingeweza kufanya yale yaliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Baada ya hapo unagundua umefanya ujinga unàanza kuhaha kununua akina Mdee.
​
 
Bila Ujinga Magufuli angeweza kutawala vizuri kuliko Samia, nafasi alikuwa nayo ya kuibadilisha Tanzania for good.

Lakini kwasababu alikuwa ni mjinga na mshamba akaamua kujiua.

Na sote tukashukuru .
 
Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-

1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.

Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia

Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi

Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani

Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.

Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani

Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama

Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.

Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Maridhiano na siasa zenu hajaweza kupunguza mfumuko wa bei za bidhaa, ukosefu wa ajira kwa vijana, kumaliza ufisadi,kutoa huduma bora za kijamii,kuondoa umasikini kwa watanzania
 
Back
Top Bottom