king kunta j
Senior Member
- Jul 21, 2021
- 124
- 87
Ovyo wewe
Gundu kivipi, kwani ukame uko Tanzania peke yake?Ni hali ya hewa tu kama ilivyotokea elnino 1998 enzi za mkapa au ilivyotokea vita 1978_1979 enzi za Nyerere
Au ilivyotokea Corona 2019 enzi za JPM
Sikia hii ng'ombe ingine...ajali zinasabishwa na overspeeding, madereva wazoefu ndio hufanya huo ujinga apo yeye anahusika nn?Kwahiyo awamu hii ndo misitu imeharibiwa? Na mfululizo wa ajali je? Vipi kuhusu mfumuko?