Rais Samia ana elimu gani?

Unajua Raia namba moja ndiyo mtu anayetakiwa kuwa na ushwishi kuliko yeyote yule kitendo cha mimi kukata hotuba yaani imekuwa kama nayweshwa matapishi kimenigusa sana kiufupi Tanzania bado na hili bomu aliyetuachia ni kiongozi wa malaika
 
Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Kasomea tu Ukarani wa Uandishi (Stenoghrapher / Secretary) ngazi ya Cerificate pale zamani IDM Mzumbe Morogoro na sasa Mzumbe University.

Who is a Stenographer?
stenographer....a person whose job is to transcribe speech in shorthand.
 
Wakati anatoa zile boko za leo anasema eti nilikuwa natumiwa hapa bei za mafuta huko duniani. Alipoona katoa boko akaletewa boko lingine tena na yeye akasoma kama lilivyo.

Yani yeye hana akili hata ya kuchangunua na kufuatilia yanayotokea huko duniani.

Ndio maana jpm alikuwa anamtenga kwenye maamuzi kumbe alishaona ni kilaza.
 
Wewe ni mtu mpuuzi uliyekosa malezi bora kwenye kukua kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…