Rais Samia ameutendea haki Urais

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Siyo kila mtu ni chawa.nikiweka mrefu napo ungelalamika maana watu aina yako huwa ni walalamishi wa kila kitu.hata mwenye mvua unaweza mwambia mtu anakutimulia vumbi

ni bora ungeweka mrefu tu maana kuna namba ya simu umeweka
sasa kakiwa kafupi hiv na bado umeweka namba utapataje maokoto?
maana kauzi hakataonekana!
 
Jina lako limeshafika mezan Kwa mama mkuu subiri cm mojaa tuu utafatwa na v8 umekula ukuu wa mkoa..
 
Ukweli ni kwamba utawala mbovu na dhaifu kupata kutokea ndani ya Tanganyika wa kwanza ni awamu ya 4 ya JK kisha ikafuata hii ya Mama!.
Hata upambe namna gani ila huo ndo ukweli hata wao wanajua hivyo tena wanakushangaa.
 
Tusisahau pia mama amefanya yafuatayo:-
(a) Ameongeza mishahara ya watumishi na kuwapandisha madaraja. Ikumbukwe dikteta alizuia kwa miaka 5.
(b) Ameondoa zuio batili la vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara lililowekwa na dikteta.
(c) Aliruhusu chanjo ya korona iliyokuwa imekataliwa na dikteta.
(d) Ametoa ajira nyingi Sana kwa vijana na bado anaendelea. Dikteta hakuwahi kumuajiri hata kijana mmoja .
(e) Dikteta alijenga uadui kati ya wapinzani na ccm. Mama kaondoa chuki na uadui.
(f) Dikteta alipora fedha za wafanyabiashara wa fedha za kigeni, mama kawarudishia.
(g) Aliwaweka ndani wafanyabiashara na wapinzani kwa makosa ya kubambikiza, mama kawatoa wote .
(h) Dikteta aliunda kikosi cha wasiojulikana kwa lengo la kuua na kuteka wanaomkosoa . Mama kakifagilia mbali kikosi hicho.

Pamoja na mapungufu yake mengi lkn mama ni bora mara 1000 kwa yule dikteta.
 
Ukweli ni kwamba utawala mbovu na dhaifu kupata kutokea ndani ya Tanganyika wa kwanza ni awamu ya 4 ya JK kisha ikafuata hii ya Mama!.
Siyo kweli. Labda kama upo jukwaa hili ili kuleta utani. Rais wa hovyo ambaye hakustahili hata kuwa rais ni jiwe. Kazi kubwa aliyoifanya ni kuua, kupora na kuteka watu
 
Sijawahi kuona kijana Mjinga kiasi hiki anapenda kusifia mambo mepesi mepesi huyo Mama hata katiba mpya imemshinda tume HURU imemshinda.
 
Tusisahau pia mama amefanya yafuatayo:-
(a) Ameongeza mishahara ya watumishi na kuwapandisha madaraka. Ikumbikwe dikteta alizuia kwa miaka 5.
(b) Ameondoa zuio batili la vyama siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara lililowekwa na dikteta.
(c) Aliruhusu chanjo ya korona iliyokuwa imekataliwa na dikteta.
(d) Ametoa ajira nyingi Sana kwa vijana na bado anaendelea. Dikteta hakuwahi kumuajiri hata kijana mmoja .
(e) Dikteta alijenga uadui kati ya wapinzani na ccm. Mama kaondoa chuki na uadui.
(f) Dikteta alipora fedha za wafanyabiashara wa fedha za kigeni, mama kawarudishia.
(g) Aliwaweka ndani wafanyabiashara na wapinzani kwa makosa ya kubambikiza, mama kawatoa wote .
(h) Dikteta aliunda kikosi cha wasiojulikana kwa lengo la kuua na kuteka wanaomkosoa . Mama kakifagilia mbali kikosi hicho.

Pamoja na mapungufu yake mengi lkn mama ni bora mara 1000 kwa yule dikteta.
Anawasahaulisha kuwa ameuza nchi kwa wajomba zake!!! Unapoainisha mazuri unayosema kafanya usisahau kuwa kuna mabaya pia yakiwemo kuuza bandari za bara na upendeleo wa wazi kwenye teuzi zake kwa wazenz na watu wa imani yake!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia, ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana Watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais Samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais Samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Naunga mkono hoja.
P
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Aliyemsema Luka kwamba atavunjika vidole kwa kutype nyuzi ndefu za sifa na utukufu ameyatimba. Mwamba kashusha uzi mwingine huku
 
Sijawahi kuona kijana Mjinga kiasi hiki anapenda kusifia mambo mepesi mepesi huyo Mama hata katiba mpya imemshinda tume HURU imemshinda.
Hayo yote yapo katika mchakato na yatapatikana tu.kikubwa ni kutoa ushirikiano katika kila hatua.Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania amedhamiria kuipatia nchi katiba mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom