Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,280
- 25,361
- Thread starter
- #101
Wewe akili yako huwa ina matatizo sana na kichwa chako kimejaa ushetani mtupu.Namba za nini sasa? Au wewe ni shoga unajitangaza kimtindo?
Wewe akili yako huwa ina matatizo sana na kichwa chako kimejaa ushetani mtupu.Namba za nini sasa? Au wewe ni shoga unajitangaza kimtindo?
😂😂😂🙌Tupe sababu kwann unaanika namba yako ili nani akupigie?
Unaweka namba ya simu kwa tafsiri gani nyingine? Nani humu JF atakupigia simu kwa sababu ya posts za aina hii?Mimi siandiki hapa jukwaani kwa ajili ya kutafuta uteuzi ndugu yangu
Kwani wapi huko uliko ambako hakuna umeme na maji?Unaweka namba ya simu kwa tafsiri gani nyingine? Nani humu JF atakupigia simu kwa sababu ya posts za aina hii?
Watanzania wanahitaji umeme na maji vipatikane wakati wote majumbani na maeneo ya kazi. Havipatikani hivyo hakuna lugha ambayo mtu wa kawaida anaweza kuvutiwa nayo
Kwa swali lako hili ni wazi kuna sehemu ya muhimu haiko sawaKwani wapi huko uliko ambako hakuna umeme na maji?
Samia hana wa kumlinganisha kwenye swala la Uongozi na deliveryNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.
Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.
Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
[emoji2][emoji16][emoji38]Wazazi wengine walipoteza sperms zao bure tu
[emoji1][emoji38]Condom moja tu ingetosha kuondoa huu uchafu
.
0742-676627.
Asante, ubarikiwe sana!. Hili la mimi kupata kura moja kinyang'anyiro cha Kawe, ni kweli na nilikubali matokeo humu Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!Nakumbuka ulipata kura moja Kawe tena uliyojipigia wewe mwenyewe,hivyo wewe na huyo mwenzio LUCAS MWASHAMBWA hamna jipya
Tofautisha kusifia na kusema ukweli juu ya mambo aliyoyafanya kiongozi na yaliyo Gusa maisha ya watuUmesifia wee mpaka sasa unaandika tanzia kabla ya wakati.
Kuwa na kiasi mkuu.
Ili uwe na kipato cha uhakika kilicho halali ni lazima uwe na akili timamu. Kupata hela halali kunahitaji akili.Uwe na adabu kwa kaka yako.mimi sitegemei kununuliwa bando bali napata hela ya bando kwa jasho langu kwa kufanya kazi kwa nguvu na kujituma.
wewe nawe mjinga sanaNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.
Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.
Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Asante kwa mchango wako .nimesoma kila neno uliloandika kuanzia mwanzo hadi mwisho .ambapo umejikita kuelezea kuwa ninaandika na kufanya kazi ya uandishi humu jukwaani kwa lengo la kujipendekeza na kutafuta fursa ya kupata chochote au fadhila au kitu chochote kile kutoka kwa mh Rais.na ikaenda mbali zaidi kwa kutoa mifano ya akina Samuel Doe . Nashukuru kwa mchango wako na mawazo yako na mtizamo wako ambao ni sehemu ya demokrasia na afya ya maendeleo ya kifikra.ambapo inatoa nafasi kwa kila mtu kuwaza awazavyo.Ili uwe na kipato cha uhakika kilicho halali ni lazima uwe na akili timamu. Kupata hela halali kunahitaji akili.
Wewe kukosa kipato cha uhakika na halali ni sahihi sana. Maana kwa hii akili uliyo nayo, huwezi kuwa na kipato cha uhakika. Labda hela ya kununulia chumvi, mchele na siku nyingine, kitimoto. Lakini lazima utaendelea kutunzwa na baba yako au jirani au ndugu, kwa jitihada zako huwezi kupata hata hela ya kujengea banda la uani kwa kipato halali kitokanacho na mapato halali ya jasho na akili yako.
Ndiyo maana kwa sasa unahangaika kumtapeli Rais Samia kwa uwingi wa sifa za kinafiki ili abebe mzigo wa kukutunza. Pathetic!
Na watu kama ninyi, ikitokea kwa sababu yoyote ile Rais Samia awe nje ya madaraka, hamtapenda hata kulisikia jina lake, mtahamishia utapeli wenu wa sifa kwa yule aliyepo madarakani hata kama huyo mtu atakuwa ni adui mkubwa wa Rais Samia. Kwa baadhi ya nchi zilizofanya mapinduzi, tena ya kumwaga damu, kwa kuondoa uhai wa kiongozi aliyepo madarakani, walitumika watu wanafiki kama ninyi, waliofanikiwa kuwahadaa watawala kuwa wanawapenda sana, kumbe kinachopendwa ni yale madaraka yao yanayoweza kusaidia wao kupata maisha.
Fikiria Samuel Doe aliyejifanya kuwa rafiki mkubwa wa familia ya Rais, kwa kila siku kuisifia familia kwa sifa kedekede za kinafiki, ndiye aliyetumika kumwua Rais William Tolbert kule Liberia. Ogopa sana watu wanaojipendekeza kwako kwa kukusifia kupindukia. Kuna wanachokitafuta.
Watu wanafiki kama Mwashambwa, ni watu wanaotakiwa kuogopwa sana na watawala, maana hawa huwa wapo tayari kufanya chochote alimradi aweze kula na kupata pesa. Hawa ni watu waliojiapiza nafsini mwao kuwa wapo tayari kufanya lolote, baya au zuri, haramu au linalokubalika alimradi tu wapate maisha. Ndiyo maana kiongozi yeyote mwerevu huwaaogopa sana na kupuuza kabisa hizo sifa zao bandia wanazozitoa ili kukupofusha unayesifiwa.
Ukweli ni kwamba utawala mbovu na dhaifu kupata kutokea ndani ya Tanganyika wa kwanza ni awamu ya 4 ya JK kisha ikafuata hii ya Mama!.
Hata upambe namna gani ila huo ndo ukweli hata wao wanajua hivyo tena wanakushangaa.