Rais Samia ameutendea haki Urais

Rais Samia ameutendea haki Urais

Tusisahau pia mama amefanya yafuatayo:-
(a) Ameongeza mishahara ya watumishi na kuwapandisha madaraka. Ikumbikwe dikteta alizuia kwa miaka 5.
(b) Ameondoa zuio batili la vyama siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara lililowekwa na dikteta.
(c) Aliruhusu chanjo ya korona iliyokuwa imekataliwa na dikteta.
(d) Ametoa ajira nyingi Sana kwa vijana na bado anaendelea. Dikteta hakuwahi kumuajiri hata kijana mmoja .
(e) Dikteta alijenga uadui kati ya wapinzani na ccm. Mama kaondoa chuki na uadui.
(f) Dikteta alipora fedha za wafanyabiashara wa fedha za kigeni, mama kawarudishia.
(g) Aliwaweka ndani wafanyabiashara na wapinzani kwa makosa ya kubambikiza, mama kawatoa wote .
(h) Dikteta aliunda kikosi cha wasiojulikana kwa lengo la kuua na kuteka wanaomkosoa . Mama kakifagilia mbali kikosi hicho.

Pamoja na mapungufu yake mengi lkn mama ni bora mara 1000 kwa yule dikteta.
Hujaweka namba sasa!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kama wewe unaona kautendendea haki basi utakuwa ni mjinga kuliko Watanzania wote. Yaani wewe ni namba moja kwa ujinga. Lakini wajinga na mashetani kama wewe mpo na mnakesi ya kujibu baadae. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee kabisa
 
Nilishasema kuwa wewe hunaga akili hata ya kukuwezesha kuvuka barabara pasipo kushikwa mkono.
 
Orodhesha mazuri ya dikteta jiwe kama nilibuoorodhesha mazuri ya Samia. Acha kutoa povu
Sasa mazuri ya jiwe huyajui! Itakuwa sio mtz wewe, Samia kafanya nini zaidi ya teuzi za kila mwezi!
 
Watu weusi wengi wetu tunasumbuliwa na njaa, kujipendekeza, unafiki, uchawa, kupata maendeleo kwa mfumo huu tutasubiri sana, jinsi unavyomsifu mama ndugu yangu, hata Mungu haujawahi kumsifu hivyo! Acha unafiki na uchawa! Unaposifu basi kumbuka kuweka na changamoto zake sio mazuri peke na hapa ndo unaonekana kabisa wewe ni mnafiki, unajikomba ili ukumbukwe kwenye uteuzi!!fanya kazi Acha kujipendekeza
 
Hayo yote yapo katika mchakato na yatapatikana tu.kikubwa ni kutoa ushirikiano katika kila hatua.Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania amedhamiria kuipatia nchi katiba mpya
Mbona hukusema hizo changamoto ulipokuwa unasifia ! Acha njaa ndugu yangu
 
Watu weusi wengi wetu tunasumbuliwa na njaa, kujipendekeza, unafiki, uchawa, kupata maendeleo kwa mfumo huu tutasubiri sana, jinsi unavyomsifu mama ndugu yangu, hata Mungu haujawahi kumsifu hivyo! Acha unafiki na uchawa! Unaposifu basi kumbuka kuweka na changamoto zake sio mazuri peke na hapa ndo unaonekana kabisa wewe ni mnafiki, unajikomba ili ukumbukwe kwenye uteuzi!!fanya kazi Acha kujipendekeza
Kama wewe umeona kuna changamoto ambayo mh Rais hajagusa au kufanyia kazi basi andika hapa ila basi tuone kwa macho yetu wenyewe.lakini mamilioni ya watanzania ni mashuhuda na wamejionea kwa macho yao wenyewe namna mh Rais anavyofanya juhudi kubwa katika kutatua na kumaliza changamoto mbalimbali zinazokuwa zimejitokeza mbele yetu kama Taifa.
 
Mamilioni ya watanzania akina nani??? Mpaka sasa nchi umeme ni wa kusuasua, katiba imekuwa changamoto, barabara mbovu, nauli zimepanda, maisha kiujumla yamepandq! Hayo maisha mazuri ni yapi????
 
Sijawahi kuona kijana Mjinga kiasi hiki anapenda kusifia mambo mepesi mepesi huyo Mama hata katiba mpya imemshinda tume HURU imemshinda.
Hata waliomtangulia wote walikwama hapa, chama chake ndio tatizo.

Kuna maeneo kajitahidi vizuri sana,..... mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais samia mama mchapa kazi,mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,chuma cha Reli,mama wa upendo ameutendea haki sana Urais. Viatu vya urais alivyo vaa vimemuenea , kumkaa vizuri sana na kumpendeza mama yetu.

Ndio maana tunaona kila sehemu amegusa ,kufika na kuweka mkono wake.ndio maana watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na uongozi wa Rais samia,kwa kuwa ni uongozi ambao umeleta na kuinua matumaini ya ndoto ya kila mtanzania katika kufikia na kutimiza malengo yake.

Katika uongozi wa Rais samia ukifanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa lazima ufaidike na kupata matunda ya jasho lako. kila mtu ana nafasi sawa katika kufanikiwa.fursa zipo kwa kila aliye tayari kuzitumia. Rais samia ameshamaliza kazi ya kuweka mazingira wezeshi kwa watanzania wote kunufaika kwanza na fursa zilizopo nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwakweli huwa sipendi sana hii tabia ya kuwa chawa pro max. Nchi yetu bado ina changamoto nyingi sana na pamoja na mh Rais kijitahidi, bado kuna mengi ya kufanyia kazi, tujikite huko kumuonesha mh Rais walinpa kurekebisha. Tujikite kutoa mawazo na ubunifu. Tumueleze wapi wateule wake wanaharibu na kumpa taarifa ambazo hazipati.

Yaani mtu kama wewe ukipewa uteuzi, ni kuharibu kizazi xhwtu cha kutengeneza watu wa kusifia tuu. Nakereka sana.

Ushauri

Mh Rais Samia, naomba ujikite kwenye kurekebisha mfumo wa vetting ya kupata wasaidizi wako. Ukitengeneza mfumo imara, utaisaidia sana nchi leo ukiwa hai na kesho Akhera

Ndimi dadeq
 
Yote uliyoyaeleza yamefanyika .pia ilitakiwa ujikite kwa hayo unayohisi bado sijayaeleza hapa
 
Good, keep up the good job you are doing, don't worry, don't mind, don't care, and don't give a dam kuwasikiliza wanaokubeza, just keep focus, do what you do as long as you do the right thing!.
P
Wewe Pascal ni mtu mzima, umeona mengi n najua unaakili za kutosha. Ushauri wako ni wa kumpoteza huyo ndugu badala ya kumjenga.

Mtu yeyote mwenye akili timamu liko wazi maudhui ya uandishi huu ambao unafanana na wako unalenga kuonesha uzalendo ili kupata teuzi. Hii sio sawa, tunaiharibu sana hii nchi kwa tabia hizo. Tujikite kwenye kumsaidia Rais afanye kazi, kusifu na kuabudu tufanye kanisani. Tumuachiw Makonda kazi yake.

Na unga mkono kuandika kwa kurekekebisha uongo, husda au propaganda lakini sio makwambio na kaubudu kila siku.

Mfano leo hii wewe ukipata uteuzi, amini nakuambia hautakuwa na credit hata kama unastahili coz watu wataaona unalipwa fadhila. Halafu hiii mambo unawafundisha nini watoto wako?

Go back to be the Pascal who stood up for what he believes in. You will always be remembered for how you confronted the late Magufuli on budget issues, such a mzalendo mwandishi. Unapoteaaaa sanaaaaa Bwana Njaa (mayalla kikwetu ni njaa)
 
Katiba mpya na tume huru hakuna rais atakayethubutu kuziunda. Hivi vitu hupiganiwa kwa jasho na damu. Siyo kwa kelele za mitandaoni.

Inabidi tuuane kwanza ndiyo vitapatikana.
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom