evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,901
- Thread starter
- #21
Ningeshauri wanasheria waende mahakamani kuomba tafsiri ya kikatiba kuhusu Rais kusitisha shughuli za Bunge
-UNAPOVUNJA BUNGE MAFAO NI LAZIMA YASOME MKUU-Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu
" 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka mitano.
(2) Kwa madhumuni ya Katiba hii maneno "maisha ya Bunge" maana yake ni ule muda wote unaoanzia tarehe ambapo Bunge jipya limeitishwa kukutana kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu na kuishia tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge kwa ajili ya kuwezesha Uchaguzi Mkuu mwingine wa kawaida kufanyika. 50 "
Hapo sijaona sehemu yeyote inasema rais anatakiwa kusitisha shughuli za Bunge.
Nika pitia Ibara ya 90 nayo ninainukuu.
"90.-(1) Baada ya Uchaguzi Mkuu Rais ataitisha Mkutano wa Bunge Jipya ufanyike kabla ya kupita siku saba tangu kutangazwa matokeo ya huo Uchaguzi Mkuu katika majimbo ya uchaguzi yote isipokuwa katika majimbo yale ambako uchaguzi umefutwa na kufanywa upya. (2) Rais hatakuwa na uwezo wa kulivunja Bunge wakati wowote, isipokuwa tu-
(a) kama Bunge limemaliza muda wa uhai wake kwa mujibu wa ibara ya 65 ya Katiba hii; au wakati wowote katika miezi kumi na miwili ya mwisho ya uhai wa Bunge, isipokuwa tu kama Spika amepokea taarifa rasmi inayopendekeza kuundwa kwa Kamati Maalum ya Uchunguzi kwa madhumuni ya kumuondoa Rais madarakani kwa mujibu wa ibara ya 46A ya Katiba hii;
(b) kama Bunge limekataa kupitisha Bajeti iliyopendekezwa na Serikali;
(c) kama Bunge limekataa kupitisha Muswada wa sheria kwa mujibu wa idara ya 97(4) ya Katiba hii;
(d) kama Bunge limekataa kupitisha hoja ambayo ni ya msingi katika sera za Serikali, na Rais anaona kwamba njia ya kuendelea kutoka hapo si kumteua Waziri Mkuu mwingine bali ni kuitisha Uchaguzi Mkuu;
(e) endapo, kutokana na uwiano wa uwakilishi wa Vyama vya Siasa katika Bunge, Rais anaona kwamba hakuna uhalali kwa Serikali iliyopo kuendelea kuwapo, na wala haiwezekani kuunda Serikali mpya.
(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukisha wakati wowote ambapo Jamhuri ya Muungano iko katika vita Bunge laweza mara kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo kwa muda unaozidi miaka mitano. "
Sasa hili suala la Rais kusema.nasitisha shughuli za Bunge amelitoa wapi?
Huu si uvunjaji wa katiba ulio wazi kwa Rais kuchomeka.maneno yake kwenye suala la Kikatiba .
Maneno ambayo hayapo kwenye katiba " kusitisha shughuli za bunge"
Kama hakuna fedha za kulipa hayo mafao sasa kulikuwa na ulazimq gani wa Rais kwenda kuhutubia Bunge kwa mbwembwe na kufanya kitu ambacho gakipo kikatiba "kusitisha shughuli za Bunge " si angesubiri hadi hiyo tarehe 3/8 ndio akaenda kulivunja hilo bunge-UNAPOVUNJA BUNGE MAFAO NI LAZIMA YASOME MKUU-
Hisia binafsi.,zipuuzwe tu,waupande ule wanajidanganya kweli.
Kama ana cabinet alafu hiyo cabinet haijaona mwanya kama huu au mapungufu kama aya basi hiyo cabinet yote ni wakufukuzwa kaziUkisema kiongozi wa nchi si ana cabinet yake yaku mshauri juu ya swala hilo? Au wewe ni miongoni mwa hiyo cabinet ya ushauri
Katiba kwa nchi yetu haina umuhimu wowote. Katiba hiyo hiyo inasema Rais hawezi kushitakiwa.Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu
" 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka mitano.
(2) Kwa madhumuni ya Katiba hii maneno "maisha ya Bunge" maana yake ni ule muda wote unaoanzia tarehe ambapo Bunge jipya limeitishwa kukutana kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu na kuishia tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge kwa ajili ya kuwezesha Uchaguzi Mkuu mwingine wa kawaida kufanyika. 50 "
Hapo sijaona sehemu yeyote inasema rais anatakiwa kusitisha shughuli za Bunge.
Nika pitia Ibara ya 90 nayo ninainukuu.
"90.-(1) Baada ya Uchaguzi Mkuu Rais ataitisha Mkutano wa Bunge Jipya ufanyike kabla ya kupita siku saba tangu kutangazwa matokeo ya huo Uchaguzi Mkuu katika majimbo ya uchaguzi yote isipokuwa katika majimbo yale ambako uchaguzi umefutwa na kufanywa upya. (2) Rais hatakuwa na uwezo wa kulivunja Bunge wakati wowote, isipokuwa tu-
(a) kama Bunge limemaliza muda wa uhai wake kwa mujibu wa ibara ya 65 ya Katiba hii; au wakati wowote katika miezi kumi na miwili ya mwisho ya uhai wa Bunge, isipokuwa tu kama Spika amepokea taarifa rasmi inayopendekeza kuundwa kwa Kamati Maalum ya Uchunguzi kwa madhumuni ya kumuondoa Rais madarakani kwa mujibu wa ibara ya 46A ya Katiba hii;
(b) kama Bunge limekataa kupitisha Bajeti iliyopendekezwa na Serikali;
(c) kama Bunge limekataa kupitisha Muswada wa sheria kwa mujibu wa idara ya 97(4) ya Katiba hii;
(d) kama Bunge limekataa kupitisha hoja ambayo ni ya msingi katika sera za Serikali, na Rais anaona kwamba njia ya kuendelea kutoka hapo si kumteua Waziri Mkuu mwingine bali ni kuitisha Uchaguzi Mkuu;
(e) endapo, kutokana na uwiano wa uwakilishi wa Vyama vya Siasa katika Bunge, Rais anaona kwamba hakuna uhalali kwa Serikali iliyopo kuendelea kuwapo, na wala haiwezekani kuunda Serikali mpya.
(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukisha wakati wowote ambapo Jamhuri ya Muungano iko katika vita Bunge laweza mara kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo kwa muda unaozidi miaka mitano. "
Sasa hili suala la Rais kusema.nasitisha shughuli za Bunge amelitoa wapi?
Huu si uvunjaji wa katiba ulio wazi kwa Rais kuchomeka.maneno yake kwenye suala la Kikatiba .
Maneno ambayo hayapo kwenye katiba " kusitisha shughuli za bunge"
Kaonea huruma kivipi kwani hao jamaa watastahili kulipwa mshahara wa mwezi wa saba na wa hizo siku 3 za mwezi wa nane naMimi sijafatilia ila nikuulize,hakutumia neno "kwa mamlaka niliyo nayo"? Ila pengine alionea huruma KODI ZENU so kasitisha kabla ya kuvunja!
Au sio ila kinamuwajibisha kila mtu no one is above the law,nani akamfunge paka kengele sasaAlishasema " katiba ni kajitabu kadogo"
Ukishakuwa rais wa nchi za afrika unaweza fanya chochote na hakuna wa kukuuliza, hata kuruhusu polisi wafanye MENGINE.Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu
" 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka mitano.
(2) Kwa madhumuni ya Katiba hii maneno "maisha ya Bunge" maana yake ni ule muda wote unaoanzia tarehe ambapo Bunge jipya limeitishwa kukutana kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu na kuishia tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge kwa ajili ya kuwezesha Uchaguzi Mkuu mwingine wa kawaida kufanyika. 50 "
Hapo sijaona sehemu yeyote inasema rais anatakiwa kusitisha shughuli za Bunge.
Nika pitia Ibara ya 90 nayo ninainukuu.
"90.-(1) Baada ya Uchaguzi Mkuu Rais ataitisha Mkutano wa Bunge Jipya ufanyike kabla ya kupita siku saba tangu kutangazwa matokeo ya huo Uchaguzi Mkuu katika majimbo ya uchaguzi yote isipokuwa katika majimbo yale ambako uchaguzi umefutwa na kufanywa upya. (2) Rais hatakuwa na uwezo wa kulivunja Bunge wakati wowote, isipokuwa tu-
(a) kama Bunge limemaliza muda wa uhai wake kwa mujibu wa ibara ya 65 ya Katiba hii; au wakati wowote katika miezi kumi na miwili ya mwisho ya uhai wa Bunge, isipokuwa tu kama Spika amepokea taarifa rasmi inayopendekeza kuundwa kwa Kamati Maalum ya Uchunguzi kwa madhumuni ya kumuondoa Rais madarakani kwa mujibu wa ibara ya 46A ya Katiba hii;
(b) kama Bunge limekataa kupitisha Bajeti iliyopendekezwa na Serikali;
(c) kama Bunge limekataa kupitisha Muswada wa sheria kwa mujibu wa idara ya 97(4) ya Katiba hii;
(d) kama Bunge limekataa kupitisha hoja ambayo ni ya msingi katika sera za Serikali, na Rais anaona kwamba njia ya kuendelea kutoka hapo si kumteua Waziri Mkuu mwingine bali ni kuitisha Uchaguzi Mkuu;
(e) endapo, kutokana na uwiano wa uwakilishi wa Vyama vya Siasa katika Bunge, Rais anaona kwamba hakuna uhalali kwa Serikali iliyopo kuendelea kuwapo, na wala haiwezekani kuunda Serikali mpya.
(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukisha wakati wowote ambapo Jamhuri ya Muungano iko katika vita Bunge laweza mara kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo kwa muda unaozidi miaka mitano. "
Sasa hili suala la Rais kusema.nasitisha shughuli za Bunge amelitoa wapi?
Huu si uvunjaji wa katiba ulio wazi kwa Rais kuchomeka.maneno yake kwenye suala la Kikatiba .
Maneno ambayo hayapo kwenye katiba " kusitisha shughuli za bunge"
Hi ni hatari kwa kweli ,Ukishakuwa rais wa nchi za afrika unaweza fanya chochote na hakuna wa kukuuliza, hata kuruhusu polisi wafanye MENGINE.
Alitumia au hakutumia hilo neno...? KWA MAMLAKA NILIYO NAYOKaonea huruma kivipi kwani hao jamaa watastahili kulipwa mshahara wa mwezi wa saba na wa hizo siku 3 za mwezi wa nane na
Vifungu ulivyonukuu mbona ni dhahiri vinampa Rais mamlaka makubwa sana dhidi ya Bunge siyo ya kusitisha tu bali kulivunja kabisa Bunge pale anapoona halikubaliani na matakwa yake.Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu
" 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka mitano.
(2) Kwa madhumuni ya Katiba hii maneno "maisha ya Bunge" maana yake ni ule muda wote unaoanzia tarehe ambapo Bunge jipya limeitishwa kukutana kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu na kuishia tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge kwa ajili ya kuwezesha Uchaguzi Mkuu mwingine wa kawaida kufanyika. 50 "
Hapo sijaona sehemu yeyote inasema rais anatakiwa kusitisha shughuli za Bunge.
Nika pitia Ibara ya 90 nayo ninainukuu.
"90.-(1) Baada ya Uchaguzi Mkuu Rais ataitisha Mkutano wa Bunge Jipya ufanyike kabla ya kupita siku saba tangu kutangazwa matokeo ya huo Uchaguzi Mkuu katika majimbo ya uchaguzi yote isipokuwa katika majimbo yale ambako uchaguzi umefutwa na kufanywa upya. (2) Rais hatakuwa na uwezo wa kulivunja Bunge wakati wowote, isipokuwa tu-
(a) kama Bunge limemaliza muda wa uhai wake kwa mujibu wa ibara ya 65 ya Katiba hii; au wakati wowote katika miezi kumi na miwili ya mwisho ya uhai wa Bunge, isipokuwa tu kama Spika amepokea taarifa rasmi inayopendekeza kuundwa kwa Kamati Maalum ya Uchunguzi kwa madhumuni ya kumuondoa Rais madarakani kwa mujibu wa ibara ya 46A ya Katiba hii;
(b) kama Bunge limekataa kupitisha Bajeti iliyopendekezwa na Serikali;
(c) kama Bunge limekataa kupitisha Muswada wa sheria kwa mujibu wa idara ya 97(4) ya Katiba hii;
(d) kama Bunge limekataa kupitisha hoja ambayo ni ya msingi katika sera za Serikali, na Rais anaona kwamba njia ya kuendelea kutoka hapo si kumteua Waziri Mkuu mwingine bali ni kuitisha Uchaguzi Mkuu;
(e) endapo, kutokana na uwiano wa uwakilishi wa Vyama vya Siasa katika Bunge, Rais anaona kwamba hakuna uhalali kwa Serikali iliyopo kuendelea kuwapo, na wala haiwezekani kuunda Serikali mpya.
(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukisha wakati wowote ambapo Jamhuri ya Muungano iko katika vita Bunge laweza mara kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo kwa muda unaozidi miaka mitano. "
Sasa hili suala la Rais kusema.nasitisha shughuli za Bunge amelitoa wapi?
Huu si uvunjaji wa katiba ulio wazi kwa Rais kuchomeka.maneno yake kwenye suala la Kikatiba .
Maneno ambayo hayapo kwenye katiba " kusitisha shughuli za bunge"
Ndio kalifunga hivyo. Spika akitamka hivyo maana yake halijavunjwa mpaka kipindi kijacho. Ila kwa rais mpaka awamu ijayoNingeshauri wanasheria waende mahakamani kuomba tafsiri ya kikatiba kuhusu Rais kusitisha shughuli za Bunge