Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Je wewe ni mtumishi wa serikali? Maana kuongeza asilimia za mshahara kwa kima cha chini hakujaanza mwaka huu.
Kumbuka hata kwenye kodi ilipunguzwa kwa wenye kima cha chini ikawa asilimia 8 kwa wenye kima vha chini kama sijakosea wakati ambao hawapo kwenye kima cha chini wanalipa zaidi ya hapo.
Hivyo wanapotumia kima cha chini wana sababu zao za kimahesabu. Hii 23% sio flat rate na utakuja kukiri mwenye hapa.
Kubisha mie siwezi.
Uliwaambia ukweli, Ila wengi akili hawana.
 
Naelewa nachosema, nchi zote Duniani hutumia hiyo standard katika kuset mishahara. Unapongeza mshahara huwezi sema kila kada itakuwa hivi na hivi, Unataja kwa ujumla sasa kima cha chini kitapanda kwa % kadhaa, hapo una maanisha wengine wataongezeka kutokana na asilimia hizo hapo.

SERIKALI INAPANDISHWA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE WOTE KWA UJUMLA NA RATE SAWA. MTATOFAUTINA POSHO KULINGANA NA TAASISI.
🤣🤣🤣🤣
 
Basic salary yako itakuwa hivi.
940,000 + (940,000 x 23.3%) = 1,159,020

Kutokea hapo sasa utakata
NHIF
PSSF
CWT/ TALGWU etc
PAYE nk

Mfano hai sasa.
BASIC SALARY ... 1,159,020
PSSF 5% (57,951)
INCOME TAX (128,000 + (101,069 × 30%)) = (158,320.7)
NHIF 4% ..............
TALGWU/CWT 5% ..............

HAPO UTAONA JINSI MSHAHARA UTAVYOKATWA PAKUBWA ZAIDI.

NB nimeashume tu haudaiwi HESLB, BENKI wala SACCOS yoyote. Na hizo % za NHIF na CWT na vyama vya wafanayakazi sina uhakika kama zinafanana.

Utajionea mwenyewe jinsi hiyo 23.3% itakavyoenda kukupasua.
Wewe akili zipo likizo.hiyo ajira ulipataje?
 
Wale waliokuwa nawakejeli sasa vipi hapo wekeni video za Kenya tena
ovyo.jpg
 
Ndio.maana watu wanasema walimu hamna akili.
Usigeneralize mzee, walioingia kichwa kichwa hilo ni wao ila binafsi nilikataa tangu mwanzo kwamba tutakuja kulia na ndicho kilichotokea watu walikuwa na expections kubwa tofauti na uhalisia
 
Ninachotamani ni kumuuliza mh. Rais, je walikuhusisha kwenye hiki kikokotoo na wewe ukaridhia? Maana hii ilikuwa ni ahadi yako. Iweje watu watoke huko wachafue maelekezo yako?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom