Rais Samia Akamilisha Uwanja wa Ndege Tabora

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
621
Reaction score
557

Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Tabora, hatua inayolenga kuboresha usafiri wa anga, kuchochea biashara, utalii na kufungua fursa zaidi za kiuchumi kwa wakazi wa Tabora na maeneo ya jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…