Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Umepatwa na mzuka wa ugaidi nini? Kijana wote tumeumia let set our lives again kulalama tu haisaidii hatimaye utaota kibiyongo burebure.
Wewe ushazoea kuishi kwa shida maana mlo wako ni mmoja tena kashata kwa maji ya kondoro.
 
Hilo ndiyo tatizo mkuu tunaongozwa na watu ambao kimsingi hawatupi kipaumbele .
 
Chief alete umeme na maji ya kutosha. Watu wake wanasubiri sana hilo. Atakuwa shujaa akilikamilisha.
 
Ukimaliza

Ukimaliza kuvuta bangi uwe unaenda kulala na sio kuzungukazunguka mtaaani
Sifa zitajionyesha zenyewe na sio kulazimisha.
Mwambie sasa azishushe huku mitaani tuzifanyie kazi.
Hao ndiyo wanufaika binafsi na kwenye mfumo usiyo rasmi wa huyo wanaye msifia.
 
Ukimaliza

Ukimaliza kuvuta bangi uwe unaenda kulala na sio kuzungukazunguka mtaaani
Sifa zitajionyesha zenyewe na sio kulazimisha.
Mwambie sasa azishushe huku mitaani tuzifanyie kazi.
Maccm mnaliangamiza taifa
 
Chief alete umeme na maji ya kutosha. Watu wake wanasubiri sana hilo. Atakuwa shujaa akilikamilisha.
Hawataki kubadilika na visheria monopoly walivyoweka ambavyo badala ya kurekebisha matatizo vimetufanya tumekuwa watumwa na maskini, TANESCO haina uwezo wa kuhudumia watu milioni 60, waruhusu watu binafsi wafanye biashara ya umeme, imagine TTCL au UDA ndio zingekuwa ndio kampuni pekee za kutoa hizo huduma
 
Upo sawa ila hili pendekezo lina hatari zake pia.

Labda umeme wa majumbani na biashara ndogo ndogo ndo watu binafsi wapewe halafu mambo mengine yote yanayohusu nchi kama jeshi, miradi mikubwa, viwanda nk umeme uwe wa serikali.
 
Umeme umefanya nini? Kabla ya mwaka huu kuisha umeme utakuwa umesharekebishwa. Mama ana akili sio sawa na yule zwazwa wenu.
Huyo unaye mwita zwazwa mama keshakiri viatu ni size kubwa kwake we chawa endelea kusifia ukweli upo wazi bei za bidhaa ni indicator moja,umeme, maji na huduma zingine zinafuatia kuharibika kadri mama anavyo wapa ulaji hao wapigamadili.
 
Tuendapo sipo kabisa
 
Pale msikiti wa Mahita, wamemwaga lami juu ya udongo...naona wamejistukia...wametifua tena.
Ndiyo ccm hiyo haijawahi kuwatendea wananchi kilicho bora au chenye manufaa kwa 60 yrs.
 
Kwa nini asiwaduwaze Wachumi watumbo? Mbona na Mimi aliniduaza, alipokuwa ziarani Tanga asubuhi kwenye hazara alisema asubuhi aliongea na Jiwe limetuma salaam kwa wanahazara hao! Alafu jioni anatutangaziaJiwe amefariki! Kumbe Jiwe kitambo, Umeme ulikatika na yeye alishakata Moto Mwili wake uko kwenye Jokofu pale Mzena! Nyie Ma-ccm ni Marongo sana. Jiwe alikuwa baba wa Urongo, SSH karithi Urongo wa Jiwe.
 
Propaganda tu. Lolote la mafanikio ni kutokana na sera za mtangulizi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…