Rais Samia aduwaza wachumi nchini

 
 
 
Ngoja nimuite hapa mtu anayejua kuzisoma hizo figure kama kweli tunaenda juu au tunashuka chini.
Mheshiwa Zitto kabwe njoo utusaidie hapa.
 
#Tanzania kaziiendelee
 
Kwani hauoni nyama kupanda Bei kufika 6,000 mpaka 9,000, hamuoni mgao wa umeme na maji, hamuoni vifaa vya ujenzi kupanda Bei, hamuoni miradi mikubwa kusimama mfano SGR na Bwawa la umeme la nyerere. Sasa hivi ni vichache sasa mnamsifia Samia kwa lipi ?
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Tanzania yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…