GE2025 Rais Samia achangia milioni 100 CCM gala dinner 2025

GE2025 Rais Samia achangia milioni 100 CCM gala dinner 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.

View attachment 3439433
Screenshot_20250812-215818~2.png
 
Ya mboga kivipi? Rais Nyerere na Rais Mwinyi waliwahi kugawa gawa mahela kama hayo?

Kwa uelewa wangu kachangia kama mwenyekiti wa CCM na sio Rais wa JMT, hivyo pesa hiyo mil 100 bila shaka ni mchango toka vyanzo vya chama chao...

Hivyo mwenyekiti wao kaiwakilisha tu kwa niaba ya wanachama wote...

Nukuu:

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania
 
Kwa uelewa wangu kachangia kama mwenyekiti wa CCM na sio Rais wa JMT, hivyo pesa hiyo mil 100 bila shaka ni mchango toka vyanzo vya chama chao...

Hivyo mwenyekiti wao kaiwakilisha tu kwa niaba ya wanachama wote...

Nukuu:
Naona unasadiki tu na huna uhakika.

Hata hiyo nukuu uliyoweka haielezi hela zimetoka wapi!
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.

View attachment 3439433

Mama kapiga kikweli kweli mwaka huu akiondoka Tanzania hawatakuja kuchagua mwanamke !
 
Nimeona GSM kachangia 10B pekee yake na Club ya Yanga imechangia 100M Eng Hersi na GSM wanatumia Yanga kwa maslahi yao ,kweli hakuna cha bure.

NB:Nchi ipo mikononi mwa wanyang'anyi mtu hawezi toa 10B kama hafaidiki chochote.
 
Back
Top Bottom