Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

Badala ya kuajiri waliimu, madaktari, wataalam wa kilimo/mifugo/fedha/TEHEMA/ n.k anaajiri polisi wengi wa kumlida wakati anafanya wizi kwenye uchaguzi fake
 
Polisi ni wengi kuliko wanachama wa chadema, hakika nchi iko salama
 
Mtekaji anatapeli watu. Mchana msiteke usiku anaagiza kuteka na kuuwa.
 
Anangaika bure hicho kiti wala hatakikalia; kwa jiwe yuko wapi pumbaf😂
 
Hata wakiajiriwa laki, mwisho ukifika ataachia tu hii ni sayansi ya maumbile
 
Eti Raisi Samia ameajiri 🤣🤣🤣

Sema Serikali kupitia Jeshi la Polisi limeajiri Askari 16,000 hivi huko Chuoni mlikotoka mbona mmekuwa kama mna utindio wa ubongo?
 
Uliza wa kutoka comoro ni wangapi kama hujadondosha machozi
 
Hata ajiri laki moja ni hivi tupo 60M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…