Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,908
kachanganyikiwa watu wake wa karibu wazidishe uangaliziHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo.Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Mwanangu usipolamba teuzi ni wewe tu sio kwa hizi pambio zaa kila siku, Bangi Bangi BangiHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Na wasiotii sheria bila shuruti, wajiandae kupigwa hadi wachakae!Kasi ya kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watanganyika na wapinzani imeongezeka
Sio kuajiri tu hata walio takiwa kustafu mwaka huu wamesublishwa wenzao wanalalamika wanasinzia tu kaziniHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
MAMA ANATHAMANI KILA MTUSio kuajiri tu hata walio takiwa kustafu mwaka huu wamesublishwa wenzao wanalalamika wanasinzia tu kazini
kwaajili ya kukulinda mkuu ondoa mashakaAiseeee! anaongeza askari na magari ya washawasha kipindi hiki...
OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIwatekaji ni wao wenyewe wasilete drama
Sawa.kwaajili ya kukulinda mkuu ondoa mashaka
Raisi wa kwanza Duniani kuajiri askari, hii ilikuwa inafanywa na watalawa wa Roman empire,HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Nenda katiki mapolisi hiyo OctoberHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
mama anatisha kama radi aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
yeye ndio mwajiri mkuuKumbe Rais ndo anaajiri siku hizi