Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Kwa hili nadhani mama Samia ameliwazia kisiasa zaidi badala ya kiweledi.

Mtu aliyeghushi vyeti vya kitaaluma ni mhalifu na angetakiwa awe jela, wanasiasa wetu wana akili ndogo sana, daima wanawaza kutoa kauli na matamko yatayowafurahisha wapiga kura ili waendelee kubakia utawalani.

Mtu anayekalia nafasi ambayo ametumia njia za udanganyifu kuipata anazuia nafasi kwa wengine waliovuja jasho kwa ajili ya nafasi hiyo.
Mfumo uliyogundua kuwa huyu ana cheti feki ndio mfumo uliyomwajiri ndio mfumo uliotoa wanafunzi waliofeli na waliofaulu kupitia walimu hawa feki ambao walikatwa Kodi na mfumo huo na Makati ya NSSF yananyojenga mabarabara. Nani anauoeleka huo mfumo jela ambako unastahili kwa kuliingiza taifa hili kuwaajiribu walimu feki
 
Hao vyeti feki walishtakiwe kwanza kwa kugushi vyeti kisha wakitoka jela watalipwa msisitetea uhalifu kwa mgongo wa siasa
 
Sasa ni dhahiri kwamba wale walioondolewa kwenye ajira ya serikali kwa kile kilichoitwa vyeti vyao vya masomo ya sekondari ni feki, hawatolipwa chochote, hata ile michango yao tuliyoambiwa majuzi kwamba watalipwa ni hakika imeota mbawa.

Sitaki kurudia kulisema jambo hili kwa undani wake wote, maana linaeleweka na kila mtu.

Bali swali langu ni hili, aliyewadanganya wahanga hawa kwamba watalipwa michango yao huku akijua kwamba SERIKALI HAINA PESA WALA HAINA NIA YA KUWALIPA ni nani? Ni Rais Dkt. Samia ambaye alisikika akitamka hadharani kwamba walipwe kuanzia Novemba mosi, ni Waziri wa Utumishi aliyetamka hadharani kwamba tayari bil 47 zishatengwa au ni CCM chama ambacho nguzo yake kuu ni uongo?

Lengo la kuwadanganya wahanga hawa walioridhika na dhuluma waliyofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 na kuamua kumuachia Mungu lilikuwa nini hasa?
 
Yani mtu alifeli sa saba au form four, akaamua kuchukua cheti cha ndugu au rafiki yake ambaye either hakutaka kuendelea na shule au alishasoma mda, akaingia chuo na kumaliza shule huku anaitwa Najenjwa badala ya Naomi, leo tumuite MUHANGA? Mtu mwizi, kaghushi vyeti anaitwaje MUHANGA?

Sisi tuendelee tu kuwa taifa la hovyo.
 
Naomba kurekebisha kidogo Hapo.

1. Hao sio wahanga ni wezi.

2. Hakuna walichodhulumiwa. Wamejipatia ajira kwa udanganyifu, stahiki zote walizopata wakati wa ajira ni batili pia wanapaswa warudishe.

3. Wamewadhulumu haki ya msingi wenye vigezo.

4. Watalipwa 2024-2025 ili watumike kisiasa kusafisha njia mnamo 2025. Kura zitamwagwa kwa wingi na hii itaondoa ile dhana wale jamaa hushinda kwa wizi.

Mwisho,
Kauli ya kuwalipa haijatolewa Bahati mbaya, kuna mpango kazi nyuma yake
 
Yani mtu alifeli sa saba au form four, akaamua kuchukua cheti cha ndugu au rafiki yake ambaye either hakutaka kuendelea na shule au alishasoma mda, akaingia chuo na kumaliza shule huku anaitwa Najenjwa badala ya Naomi, leo tumuite MUHANGA? Mtu mwizi, kaghushi vyeti anaitwaje MUHANGA?

Sisi tuendelee tu kuwa taifa la hovyo.
Hakika mkuu, mtu alidanganya halafu umlipe? Kuwaondoa kazini na kuwaacha huru inatosha sana kwani walistahili kufunguliwa mashtaka ya kughushi nyaraka na uhujumu uchumi.
 
Hakika mkuu, mtu alidanganya halafu umlipe? Kuwaondoa kazini na kuwaacha huru inatosha sana kwani walistahili kufunguliwa mashtaka ya kughushi nyaraka na uhujumu uchumi.
Ajabu hii, halafu anakuja mtu anawaita wezi wahanga, hivi mkuu tunajielewa kweli?
 
Sasa ni dhahiri kwamba Wale walioondolewa kwenye ajira ya serikali kwa kile kilichoitwa vyeti vyao vya masomo ya sekondari ni feki , hawatolipwa chochote , hata ile michango yao tuliyoambiwa majuzi kwamba watalipwa ni hakika imeota mbawa .

Sitaki kurudia kulisema jambo hili kwa undani wake wote , maana linaeleweka na kila mtu .

Bali swali langu ni hili , Aliyewadanganya Wahanga hawa kwamba watalipwa michango yao , huku akijua kwamba SERIKALI HAINA PESA WALA HAINA NIA YA KUWALIPA ni nani ? Ni Mh Rais Dkt Samia ambaye alisikika akitamka hadharani kwamba walipwe kuanzia Novembba mosi , Ni Waziri wa Utumishi au ni CCM chama ambacho nguzo yake kuu ni Uongo ?

Lengo la kuwadanganya wahanga hawa walioridhika na dhuluma waliyofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 na kuamua kumuachia Mungu lilikuwa nini hasa ?
hadaa za nape kwa mama
 
Back
Top Bottom