Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

Gaddafi alisaidia wananchi wake,umeme bure,maji bure,nyumba bure n.k
Umekariri badoo, hata yeye afikiri kama wewe kuwa ni msaada, siyo haki. Ndio maana hawakumpenda wakashirikiana ma wageni kumuua! Alikuwa mwovu alifikiri huo msaada utapofua watu wasione uovu wake
 
Mpuuzie tu.

Anataka US na UK warushe silaha direct kutoka ktk ardhi yao kwenda Russia, umeona akili mbovu hizi?

Sasa US na UK arushe silaha kwenda Russia kwani US na UK ndo wamegombana na Russia au Ukraine?

Kama Russia hataki Ukraine ajiunge na NATO kisa NATO itasimamisha silaha za maanganizi Ukraine, kwanini yeye Russia asiangamize NATO ambae ndio anaonekana chanzo cha mzozo badala ya Ukraine?

Hawa vijana wa putin wanajitoa ufahamu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako we bado unadhani Ukraine ndio anaye pigana vita. Anaye pigana vita hapo ni NATO lakini kawaida ya mtu dhaifu huwa harushi ngumi MPAA pale aone kunawamuzi au awe nyuma ya mtu
 
Tatizo lako we bado unadhani Ukraine ndio anaye pigana vita. Anaye pigana vita hapo ni NATO lakini kawaida ya mtu dhaifu huwa harushi ngumi MPAA pale aone kunawamuzi au awe nyuma ya mtu
Teh teh teh kauli za kushindwa hizi,by the way kwanini Putin asiwashambulie hao NATO kama alivyoahidi?
 
Naona watu mumesoma heading tu, bila content mkaanza comments. Putin kapigiwa simu na macron akiombwa asitishe vita, siye yeye aliyeomba Bali Macron. Naye jibu lilikuwa ni kumwambia macron vita itaendelea unless waache kuipa Ukraine silaha Kama kweli wanataka vita iishe.
bado hailet mantik , kwann alianzisha uvamiz wkt hawakuwa wanatoa silaha
 
mwandishi uliyeleta hii mada naona wachangiaji wengi hawajakuelewa.. wengi wanafikiri Putin ndo ameziomba nchi za magharibi zisitishe kutoka siraha kwa Ukraine.. kumbe Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma!
kwa mbwembwe.alizotumia kuanzisha vita sio wakuja kusema yupo tyr kumaliza vita incase ukraine isipopewa silaha maana ake kashashindwa anasikilizia waamuz tu
 
Naona watu mumesoma heading tu, bila content mkaanza comments. Putin kapigiwa simu na macron akiombwa asitishe vita, siye yeye aliyeomba Bali Macron. Naye jibu lilikuwa ni kumwambia macron vita itaendelea unless waache kuipa Ukraine silaha Kama kweli wanataka vita iishe.
Da wewe jamaa una akili sana .
Humu kumbe nimeona Kuna vilaza wengi sana ,Tena hata wale niliyokua nawaona wako makini kumbe Bure kabisa.

Kwa kifupi ni kweli Putin alombwa asitishe vita,nae akawambia waache kupeleka silaha.
Kwa hiyo nae kawapa masharti.

Bora wewe umewafafanulia,ingawa naona wanajifariji TU.
 
mwandishi uliyeleta hii mada naona wachangiaji wengi hawajakuelewa.. wengi wanafikiri Putin ndo ameziomba nchi za magharibi zisitishe kutoka siraha kwa Ukraine.. kumbe Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma!
Safi sana,Pro NATO wanamtia huruma aisee,nimegundua.
 
Back
Top Bottom