Rais punguza safari, jikite kujenga nchi

Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Mnataka msipomchagua akijutie! Waswahili husema "ukikipata kitumie, ukikikosa kijutie" na "mla mlaleo, mlakesho kala nini".
Hata hivyo pesa ya Korona bado ipo na ndiyo kwanza tunaifungua.
Acheni wivu.
 
mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...
Mkuu mshukuru Mungu kuwepo kwako hapa Tanzania, yaani ni full elimu kila siku.

Watanzania as waafrika tuna matatizo sana hilo la wazungu kumkopesha mzee baba hawawezi kulizungumza maana litawazomea!.

Mtu hatoki ndani ili kulima lakini bado watu wa nje wanampelekea chakula why?
 
Mbona jpm hakusafili lakini nchi ilikuwainaenda ICU
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Huyu mama mshamba zaidi ya Kikwete. A soma kitawala nchi ni kusafiri kilavdoku. Yale Yale ya Kikwete jussi I mikataba nje ya nchi. Hana Ainu anatumia hela za Bara yeye ni mzanzibari.
Upumbafu wa kubadilisha katiba kimya kimya, nani alijua tungepata mzigo huo. She is useless as they come. 15 years ya takataka hiyo nch itafilisika. Air Tanzania na naona hela na anachukua hiyo Imamate Cairo for 4 days waiting for her. CCM muondoeni Samia she is hopeless
 
Fursa gani hiyo? Kujadili joto angani inatusaidia nini sisi kama nchi? Unajua ni pesa kiasi gani inatumika kwenye hizo safari?

Watu wanataka ajira, kazi, miundombinu, chakula mezani, food security, maji, umeme, mishahara bora.

Hii nchi bado masikini na duni, inahitaji Kiongozi wa kupush mambo on the ground.... sio kukimbia kimbia hovyo Ulaya.

Wazungu sio watu mnaopimika nao kwenye mizani moja.

Wanayoyajadili wao hayaweza kukaa kwenye mizani ya mahitaji ya TANZANIA.

Acheni kumdanganya Cheif Hangaya MTAMPOTEZA.
 
mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...
Wazungu watakukopesha lakini kwa riba ya kufa mtu
 
This so called president is useless. Travelling overseas every week. Eti kissini mikataba, Yale yale ya Kikwete. Anatumia mabilioni anatomy yangejenga Muhimbili 10. Hajali maana hakutegemea atakuwa Rais. Another 10 years ya upumbafu huo iko kazi. Samia anaweza kuwa na akili ya kuku, akapimwe haraka. Back to back safaris. Hivi anajua songea iko wapi? Au Njombe. Akitoka huko sijui atarlekea wapi? Europe? She is not ok she is a moron!!
 
Kwenda kusaini mikataba kama alivyofanya Kikwete. All contracts tunawafuata. Get ready 10 years ya Samia nchi itafilisika. Mabenki ya I Swiss yatajaa hela za wantszania. Get rid of her, she is useless. Rudisheni Zanzibar. Si make wa 4 huyo kwa mime wake, any woman accepting poligamy is sick not fit to be a leader. Hawezi kuongoza hata mtaa.
 
This so called president is useless. Travelling overseas every week. Eti kissini mikataba, Yale yale ya Kikwete. Anatumia mabilioni anatomy yangejenga Muhimbili 10. Hajali maana hakutegemea atakuwa Rais. Another 10 years ya upumbafu huo iko kazi. Samia anaweza kuwa na akili ya kuku, akapimwe haraka. Back to back safaris. Hivi anajua songea iko wapi? Au Njombe. Akitoka huko sijui atarlekea wapi? Europe? She is not ok she is a moron!!
Mzee wa Kahama mwangaluka!
 
Wazungu watakukopesha lakini kwa riba ya kufa mtu
Safari hazileti loolote. Kikwete Alilets nini. Benki akaunti yake huko nje imejaa hela zetu.
Upumbafu wa hali ya juu hizo safari. Where next? Europe Hajaenda ufaransa?
 
Sioni ubaya wowote wa Raisi kusafiri,ila ubaya uko kwenye uchoyo wake wa Katiba mpya ya wananchi.
bantu2.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom