stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 36,945
- 36,092
Kwani maendeleo ya nchi yanaletwa na nani?
sasa kumbe akili mnazo, mnajitoa ufahama ama ndo sera zmeisha?

Hujajibu swali?
HahahahaNawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.
Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?
Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.
Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!
Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.
Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!
MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...
Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.
Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.
Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.
Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....
Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.
Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.
Wasalaam.
Acha watu watengeneze historia wewNawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Unadhani rais atachimba mtaro au kusimamia kiwandaNawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Safari za kuifungua Tanzania kama zilivyokuwa safari za wavumbuzi akina Christopher Columbus, Ferdinand Magellan, James cook, Bartolomeu Dias, Vasco da Gama, John Cabot, Amerigo Vespucci, Francis Drake, John Smith, Gerorge Vancouver na Jacques Cartier zilizoifungua Uropa kwenye mabara mengine enzi zile😀Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.
Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?
Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.
Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!
Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.
Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!
MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...
Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.
Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.
Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.
Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....
Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.
Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.
Wasalaam.
Acha chuki , kwani nchi imebomoka .Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Dikteta alikuwa hajui lugha ndiomaana aliogopa kusafiri,
Alitamani English ingekuwa binadamu,ahamrishe imiminiwe risasi
Hao hao wazungu wanakataza mabenki yao na makampuni yao wasifanye biashara na Iran wakati ni makampuni binafsi. Kipi ni kipi hapo!?Wazungu waliomkopesha Magufuli ni mabenk ya kibishara yenyewe hayaangalii mambo ya demokrasia Bali faida watakayoipata.
Wanao toa grant ndio wanaangalia maswala ya democrasia.
Elo Kamano kabisaNawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.
Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?
Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.
Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!
Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.
Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!
MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...
Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.
Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.
Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.
Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....
Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.
Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.
Wasalaam.
Iran ni kesi nyingine vital zaidi,Ina vikwazoHao hao wazungu wanakataza mabenki yao na makampuni yao wasifanye biashara na Iran wakati ni makampuni binafsi. Kipi ni kipi hapo!?
Hiyo falsafa ya JPM ya kutosafiri kwa kisingizio cha kujikita na mambo ya ndani imeshapitwa na muda. Sasa tunajua kuwa alikuwa hasafiri kwa kuwa alikuwa na ile kitu ya kuupiga tafu moyo. Pia ile lugha iliyokuja na meli ilikuwa inampa shida. Mama hana shida na moyo na yuko vizuri kwa ile lugha. Acha mama asafiri.Very true!