Rais punguza safari, jikite kujenga nchi

Rais punguza safari, jikite kujenga nchi

Fursa gani hiyo? Kujadili joto angani inatusaidia nini sisi kama nchi? Unajua ni pesa kiasi gani inatumika kwenye hizo safari?

Watu wanataka ajira, kazi, miundombinu, chakula mezani, food security, maji, umeme, mishahara bora.

Hii nchi bado masikini na duni, inahitaji Kiongozi wa kupush mambo on the ground.... sio kukimbia kimbia hovyo Ulaya.

Wazungu sio watu mnaopimika nao kwenye mizani moja.

Wanayoyajadili wao hayaweza kukaa kwenye mizani ya mahitaji ya TANZANIA.

Acheni kumdanganya Cheif Hangaya MTAMPOTEZA.
Huyo kichaa wenu msimfananishe na Mama, nambie Rais yupi ambae hasafiri kujadiliana na wenzie?? Hata baba ktk familia huwa anatoka kutafuta mkate kwa watoto, nyie misukule ya dikteta mmevurugwa
 
mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...
Mkuu,
Ndio mana mimi hakuna takataka yeyote itanishawishi kwa chochote hapa nchini.
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Mmeshaanza chokochoko, hamna jema hata kidogo, Magufuli hakupenda kusafiri shombo zote mlimrushia, Leo hii Mama anasafiri mnaendelea, embu acheni hizo. Acheni hizo.
Kwanza ujenzi wa nchi ni jukumu letu sote na sio la Kiongozi mkuu peke yake, yeye na Chma chake wanaseti Dira wwengine tunatekeleza, Ilani ya chama ni ilele, Kumbuka nchi imetoka katika uchaguzi 2020, utekelezaji unaendelea.
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Wakisema kuna mtu anaongoza nchi kipindi cha tatu ni nongwa
 
Ila akili za CCM na mabaki ya Magufuli(wazalendo) huwa naona kabisa haziko sawa,yaani mkutano wa dunia wa kujadili mabadiliko ya tabia ya nchi(kuongezeka kwa joto,ukame,sehemu kubwa ya dunia kugeuka jangwa,kuyeyuka kwa barafu,kupungua kwa kina cha maji na uharibifu wa mazingira) jamani haya NI MAMBO MEPESI?AU NDIO ELIMU BURE?.
 
Kuna watu walimlalamikis JPM hasafiri, sasa mama amesikia kilio chao na ameamua kuwa anasafiri sasa....bila shaka wamefurahi sana...
 
Hii clip inafukirisha sana.
 
Attachments

  • VID-20211110-WA0000.mp4
    3 MB
Mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, makatibu wakuu, wakurugenzi, waziri mkuu, makamo wa raisi wote wapo nchini huku ndani akae anafanya nini? Aende nje huko aje na fursa hatumtaki hapa.

Hatuna vita sisi kwamba ajifiche mikoani.

Nyumba gani watoto, wafanyakazi, baba, mama wooote wapo nyumbani wakitegemea kula mayai wa kuku wanaofuga tu?
 
Kwa safari za namna hiyo lazima uwe na masanduku imara kama hili
Screenshot_20211110-103115_Google.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom