Rais punguza safari, jikite kujenga nchi

mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...
Yule alikuwa anachukuwa mikopo kwenye taasisi zenye kutoza riba kubwa na kudanganya watu pesa za ndani leo sote tunajuwa hakuna cha pesa za ndani wala nini ni mikopo kutoka mabank ya kibishara na wamekopa sana Bank of Africa huko, Nchi haijengwi na Rais kukaa ndani tu maana Mugabe angejenga basi. Mama lazima aende atafute pesa na kufungua njia kujenga nchi hapa ndani viongozi wako na sera ziko wazi tuache kupinga kila jambo JK alikuwa anasafiri kila leo na nchi ilikuwa fresh pesa nje akaja wa kubana pesa ikapotea tukamsema hasafiri sijui anaogopa ndege sijui hajui kizungu haya kaja mtu na sera tofauti anasafiri sana hata hujui tunataka nini? Mimi mwenyewe niko safarini nimeacha watoto na mke natafuta fursa sasa sote tukae ndani tujenge nyumba? fanyeni kazi Rais anafanya kazi kwa mujibu wa sheria ingekuwa kaenda mwezini huko hapo tungesema anatafuta nini huko. Mama fanya hata ukitaka kusafiri daily safiri tu muhimu kwa manufaa ya nchi.
 
Kila mtu ana mtizamo wake. Asiposafiri mara ooh tunajifungia ndani dunia haitufahamu! Tunaanza kurusha clips Raisi wa Kenya akiwa nje ya nchi! Mara ooh lugha ndo Kikwazo rais wetu hataki kusafiri nje ya nchi anawakilishwa tu. Sasa kaja mwenyewe akaona ajena diplomasia kama Rais wa nchi. Mmekuja tena na hizi ngonjera. Hebu kuweni walau na msimamo wa kauli zenu yaani hadi mnakera maana hamueleweki nyie ni baridi au moto? Mh Tais ashatolea suala hili maelezo.
Ogopa wana siasa au wanaharakati wanaofuata trend na kudandia hoja mara machinga hawajamaliza mbona kasafiri tulikuwa busy na wamachinga mimi sio mpenzi mkubwa wa CCM lakini pia sio Chadema ila nachukiwa kuona watu wasiokuwa na msimamo. Wakati wa JPM hawa hawa walikuwa mbele tutatengwa Rais gani hasafiri Tanzania sio kisiwa leo kauli nyingine. Mtu lazima uwe na msimamo ohh kaa ujenge nchi wa kujenga nchi ni wewe mfanayakazi au mfanya biashara fanya kazi uchangie kipato nchi Rais hashiki jembe anaweza kutoa kauli tu hata kama yuko mwezini.
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Ukweli ila naogopa
 
Hapo alipo hata hajui nini anafanya,yeye ni kuongelea maumbile yake kutafuta huruma,istoshe kabeba roho mbaya
 
Wewe ulishamuona wapi rais anayejenga nchi? Tunajenga nchi sisi wenyewe kila mtu mahali alipo. Wewe kama unamtegemea rais- UTACHAKAA SANA
 
Hiyo ndo namna ya kuchenga uchumi Kama ilikuwa hujui. Kumbuka wazungu wakati wanajenga nchi zao walizunguka dunia nzima i.e merchantalism regime. Hivyo mama anachokifanya yuko mulemule muacheni. Shida Ni ufinyu wa elimu unaowasumbua hamjui muongee kipi na msiongee kipi. Hizi elimu za SAUT na ma gpa ya kufa mtu zinawaghalimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom