Nambarapi
Senior Member
- Jan 2, 2015
- 179
- 143
Bado tunawavalisha askari wetu OVERZIZED UNIFORMS na VIATU VYA MITUMBA
Hivi hatuna bunduki zingien zaidi ya hizo?
Hizo silaha ni maalumu kwa parade S A R
Bado tunawavalisha askari wetu OVERZIZED UNIFORMS na VIATU VYA MITUMBA
Hivi hatuna bunduki zingien zaidi ya hizo?
Rais wa Rwanda Mhe.Paul Kagame akikagua gwaride la heshima.alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Mhe.Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Bado tunawavalisha askari wetu OVERZIZED UNIFORMS na VIATU VYA MITUMBA
Hivi hatuna bunduki zingien zaidi ya hizo?
HahahaaaHizo ni protocol za raisi yeyote apokelewapo.CHADEMA kama hamlijui hata hilo huko ikulu mtafanyaje hamjui hata kiongozi wa nchi huwa anapokelewaje.
Na nyie siku hizi naona mbowe akienda mbali anapokelewa na kagwaride ka mabouncer wa billicanas club mnawaita red brigade
BERNARD MEMBE kumpokea kagame is hardly apologetic!
Huyo unayemuuliza kesha poteza mwelekeoNi mara yako ya kwanza kuona Rais wa nchi ya kigeni akifanya anachofanya Kagame, au?
Bado tunawavalisha askari wetu OVERZIZED UNIFORMS na VIATU VYA MITUMBA
Hivi hatuna bunduki zingien zaidi ya hizo?
Based on what? Kwanini unadhani Tanzania imeiomba radhi Rwanda?Ishara ya kumuomba radhi kidiplomasia na kijeshi....!
Bado tunawavalisha askari wetu OVERZIZED UNIFORMS na VIATU VYA MITUMBA
Hivi hatuna bunduki zingien zaidi ya hizo?
Akija kenyata inabidi aende livingstone lusinde tuNimeipenda hii, Kagame kapokelewa na BERNARD MEMBE!!! bwahahahahahahahha! Cheki membe anavyotabasamu halafu kagame sura ilivyomshuka.
cc: Ngongo JokaKuu JustDoItNow.
..tatu, amemaliza sintofahamu iliokuwepo kati yake na Kagame. Sasa Rwanda imerejea tena na kuwa fully committed kutumia reli na bandari za Tanzania. Leo Raisi Kagame amezindua treni ya mizigo ya Rwanda toka bandari ya Dsm.
..nne, Coalition of the Willing au CoW, imezikwa rasmi leo Dsm kwa ziara hii ya Raisi Kagame ambaye amepokelewa kwa heshima za kijeshi hapa Dsm.
Based on what? Kwanini unadhani Tanzania imeiomba radhi Rwanda?
Pumbaff!
Huyo anayekagua askari wa JWTZ ni Chief of Staff wa Majeshi ya Rwanda.
Najua roho inakuuma kweli