jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,379
- 4,899
Kagame amekuja kuangalia bandari yake alimwambie JK ampe bandari tuu yeye tutaishi kama ulaya JK akanuna .
Thibitisha. Ilikuwa lini hiyo?
Kagame amekuja kuangalia bandari yake alimwambie JK ampe bandari tuu yeye tutaishi kama ulaya JK akanuna .
kumbe tuko wengi tuliojiuliza kuhusu hiyo comment.
ili iweje kwani wewe ni nani mpaka nikuthibitishieThibitisha. Ilikuwa lini hiyo?
Huyu Mlinzi wa kushoto, nyuma ya askari wa Jwtz anaonyesha yuko makini na kazi yake!
mashine ya kusaga mahindi au mashine ganiKagame ni mashine
mashine ya kusaga mahindi au mashine gani
Acha uzushi ndugu, nani kakuambia Kikwete alipokwenda kwenye Mkutano wa EaC pale Rwanda hakupokelewa kwa gwaride wala kutumiwa wazir wa mambo ya nje?Nilidhani ni peke yangu niliyefikiri kama hivi, kumbe tuko wengi...
Kwa kumbukumbu zangu nakumbuka Kikwete alipokwenda kwenye Mkutano wa EaC pale Rwanda hakupokelewa kwa gwaride wala kutumiwa wazir wa mambo ya nje achia mbali Kagame kwenda kumpokea.!!! Sasa imekuwaje yeye kumpokea kwa Gwaride na kwa mapokezi ambayo kidipromasia ni halali yake (Kupokelewa na waziri wa mambo ya nje kama Rais hayupo ama katingwa)
Nadhani Kikwete ni kama anaomba radhi ama kubembeleza kwa namna fulani hivi... Kumbuka Baba yako akigundua kakuadhibu kwa bahati mbaya (hukukosa) kamwe hawezi kukuomba radhi, Bali kesho waweza kuta anakuja na Kiatu suruali ama chochote kile kama zawadi yako.. Naam kwa wenye akili kubwa watajua mzee anaomba radhi kwa mlango wa nyuma.
Hiki ndicho kinachofanywa na Kikwete???
BACK TANGANYIKA
Sio kweli,Kama ni kweli hii basi kweli JK ni dhaifu
Rais wa Rwanda Mhe.Paul Kagame akikagua gwaride la heshima.alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Mhe.Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
buraza ndo kiswahili gani ndo naniAise buraza yuko makini
What do we lose if we live well and at peace with our neighbors?
Acha uzushi ndugu, nani kakuambia Kikwete alipokwenda kwenye Mkutano wa EaC pale Rwanda hakupokelewa kwa gwaride wala kutumiwa wazir wa mambo ya nje?Sio kweli,
Ishara ya kumuomba radhi kidiplomasia na kijeshi....!
Nimekosa picha ndugu yangu lakini mwisho wa hiyo video, kuanzia sekunde ya 43 utaona gwaride.Weka picha Mkuu.
Sisi tunasema hakupokelewa na Gwaride
Acha uzushi ndugu, nani kakuambia Kikwete alipokwenda kwenye Mkutano wa EaC pale Rwanda hakupokelewa kwa gwaride wala kutumiwa wazir wa mambo ya nje?Sio kweli,
Nimekosa picha ndugu yangu lakini mwisho wa hiyo video, kuanzia sekunde ya 43 utaona gwaride.