Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Rais Barack Obama amezomewa alipokuwa akitoa hotuba katika chuo Kikuu cha Notre Dame huko Marekani.
Rais Obama ambaye alitunukiwa Digrii ya heshima, alizomewa pale alipotoa mwito kwamba mjadala kuhusu utoaji mimba usisitishwe bali uendelezwe kwa nidhamu, huku watu wakiheshimiana.
Kimsingi, Rais Obama hapingi utoaji wa mimba kama ulivyo msimamo wa kanisa Katoliki.
US President Barack Obama waves as he arrives on the stage to attend the commencement ceremony in the Joyce Center of Notre Dame University in South Bend.
Nini mawazo yenu wana JF?