Nkurunzinza amepinduliwa jana wewe unataka Habari gani zaidi? Au unataka ngonjera kama za Al sahaf wa Sadam Hussein?
Si wamuue tu huyu kenge
Nkurunzinza aliombwa na wananchi walio wengi wa Burundi aendelee kuwaongoza ili kulinda amani ya burundi ,hao wanaompinga ni genge tu la wahuni
Kwa nini mkuu
Kwani we unajua kipikibaya alicho kifanya? wacha kurahisisha vitu jamaa hakuwa mbaya kwa wanaojua historia ya Burundi
Burundi iko salama kabisa hao wanaoandamana na hao wakimbizi wanaokimbia burundi ni vichaa?
Ndugu Emma lazima utambue kama umewai shuhudia mamako,babako na nduguzako wakiuliwa vibaya sidhani inaweza kuwa rahisi kusahau, na dalili kama hizo zikianza kujileta kamwe huwezi endelea kuwapo hapo
Wewe na nani?
Ukimuua haitakuwa powa kamanda, anatakiwa abaki aone wenzake watakavyotawala kidemocrasia nafsi imsute......wakati huo akiwa kwenye ile mahakama yetu
Kwani we unajua kipikibaya alicho kifanya? wacha kurahisisha vitu jamaa hakuwa mbaya kwa wanaojua historia ya Burundi
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.
Ukishajua unataka umfanyeje kwa mfano
Hao wakimbizi wamekuja yeye bado ni rais, sasa hapa sijui kipi kinafanya useme kupinduliwa kwake ni mzigo kwetu.
Iwe iwavyo, burundi itaendelea kuwapo lakini pierre na cndd-fdd ni vitu vya kupita....kama ambavyo wewe na mimi ni wa kupita tu. Huyu rais alishalikoroga na kwa kuwafukuza watu waliomshauri kwa hekima alijitengenezea mazingira hatarishi hata kama angeshinda huu uchaguzi anaolazimisha kugombea.
Duniani hakuna mtu ambaye ni indispensable! Busara ya kawaida ilikuwa ni kufuata nyayo za akina Mwl nyerere ambaye katiba, chama pamoja na wananchi walikuwa wanataka aendelee kuwa rais lkn busara ikamtuma kuachia na wengine, ndivyo na Mandela alivyofanya.
cb
Sehemu kubwa ya wale wakimbizi ni wale waliowahi kuishi TZ,enzi zile za ukimbizi,sasa hivi wanatumia hayo machafuko km loop hole ya kurudi tena Tanzania.
kweli kabisa tena hawa kuna walio anza kurudi mapemaa hata kelele hazijawa kubwa
Kichwa cha habari kimekosewa. Nkurunzinza sio rais tena. labda agombee urais wa TFF akishachukua uraia Tz maana sisi kwa kimbelembele cha kuhifadhi wauaji gama huyu hatujambo. Nkurunzinza au kurumbiza ni jobless kama jobless wengine Dar
Yes ana haki sawa, kwanini asiende ngara kuwahi hema lake nayeye?