Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

wakati yy yupo dsm salama jeshi limegawanyika na mapigano makali yanaendelea na kituo cha redio kilichotangaza kumpindua cha chomwa moto na raia za burundi hakuna kutoka nje!
 
Kichwa cha habari kimekosewa. Nkurunzinza sio rais tena. labda agombee urais wa TFF akishachukua uraia Tz maana sisi kwa kimbelembele cha kuhifadhi wauaji gama huyu hatujambo. Nkurunzinza au kurumbiza ni jobless kama jobless wengine Dar
 
Nikweli huyu jamaa kafanya makubwa kwa Burundi.
Tatizo kubwa kwake ni Kubali Katiba tu ndio kumemvurugia.
Na hata akiitisha uchaguzi basi atashindwa vibaya,maana wafuasi wake wengi ndio wameikimbia Nchi
 
Kama alikuwa na njama hizo basi atakuwa ameshapata changamoto kutoka burundi

hata hivyo reactions za warundi na watz ni tofauti sana. anaweza kujiongezea na watz wasifanye kitu.
 
Duh huyu wa kwetu hawezi kuthubutu kujiongea muda kwani alishakiri ameshachoka kuongoza anatamani kupumzika .

Ww umekuja lini tz kakiri mambo.mengi sn lkn ilipofika akageuza iko wp kura ya maoni iko wapi katiba ;-)
 
Kwani we unajua kipikibaya alicho kifanya? wacha kurahisisha vitu jamaa hakuwa mbaya kwa wanaojua historia ya Burundi

Hivi kung'ang'ania madaraka ya wananchi siyo tendo baya? Usijifanye kipofu bana!
 
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.

Sisi miafrika ndivyo tulivyo
 
Ujue iliviweje sasa

Maana Kabira baba enzi zake tunamhifazi hakuna aliyekuwa anajua ikajulikana baada ya aka kibao saasaa huyu jana tu leo unataka kujua aliko what pipo mko hivi?????
 
Nkurunzinza aliombwa na wananchi walio wengi wa Burundi aendelee kuwaongoza ili kulinda amani ya burundi ,hao wanaompinga ni genge tu la wahuni

Mwanasheria gn yule na waziri wa sheria walisema rais hawezu kuunda tume yavkulatibu mchakato wa katiba iliyopo inatosha na kukidhi baada ya mwezi ikawa tofauti
 
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.

Sasa hiyo democrasia gani, Raisi anayemtaka yeye, mwache arudi polini tutamshugurikia tu.
 
Ulianza vizuri mwisho umehAribu kabisa yaani unaona sifa kabisa kutetea ujinga .akili zako za kuazima hizo mrudishie mwenyewe ,shame on you
 
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.

uchambuzi maridhawa
 
Back
Top Bottom