masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,385
- 19,311
yUPO dAR SEHEM GAN
buguruni kwa mnyamani
yUPO dAR SEHEM GAN
Burundi iko salama kabisa hao wanaoandamana na hao wakimbizi wanaokimbia burundi ni vichaa?
Mmmh!!!!!! hapo ndio ninapoendelea kipenda nchi yangu Tanzania, wanasiasa wanabwabwaja sanaaaaa ila kila mmoja anaogopa kuvuruga amani, hii nchi ukimwacha mtu mmoja anayetamani uraisi kama ufalme wa mbingu ambaye ndio pekee anaweza kuharibu amani ya nchi hii kama mwanasiasa aliyefilisika, basi ni imani za dini ndio zitatupeleka kubaya,
Vurugu zinaumiza wamama na watoto jamani, hivi kwanini ninyi wababa hamfanyi maamuzi ya busara hata kama kuna tatizo, tamaa za madaraka za nini??????? hutakiwi pisha njiaa, nawaonea huruma wanawake watoto tu mimi jamani, waponee wapi hawa watu jamani loh!!
Ukitanguliza mahaba hauwezi kuona ubaya hata siku mojaKwani we unajua kipikibaya alicho kifanya? wacha kurahisisha vitu jamaa hakuwa mbaya kwa wanaojua historia ya Burundi
sINZA kIJIWEN
Ukishajua unataka umfanyeje kwa mfano
yupo geto kwako hembu cheki vizuri utamwona
Ili tuwe na amani tuwapinge wanasiasa wote waliochakachua katiba za vyama vyao na kuondoa ukomo wa kugombea uenyekiti, halafu tupige chini wanasiasa wote waliogombea urais zaidi ya mara mbili....:becky:
Ujue iliviweje sasa
ITV wanasema yupo kwenye hotel moja kubwa ya kitalii ktk ya jiji la dar (wanasema hayo saa 9 jion hii kwny habar za saa)
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.
Yupo dar kama nani ? anafanya aende kigoma akaungane na wakimbizi wenzake.
Kwani we unajua kipikibaya alicho kifanya? wacha kurahisisha vitu jamaa hakuwa mbaya kwa wanaojua historia ya Burundi
Ahahahaaaa, we binadamu wewe!!
Chanzo redio ya kiswahili ya ujerumani kinasema kuwa rais wa Buryndi yupo dar. Membe kahojiwa amethibitisha ila hajasema kuwa yupo hoteli gani. Nini hatima yake? Na msimamo wa Tanzania JK alishauonyesha jana.
Je Tanzania namaanisha JK atatuma majeshi kumsaidia huyu swahiba wake ? AU wamelala bado.
Chanzo ni Deutsche Welle