Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

Mwanasheria gn yule na waziri wa sheria walisema rais hawezu kuunda tume yavkulatibu mchakato wa katiba iliyopo inatosha na kukidhi baada ya mwezi ikawa tofauti

Kigeu geus
 
wanaoandamana ndio hawamtaki Nkurunzinza hesabu wako wangapi halafu linganisha na wanaokimbia Burundi kuja TZ. Halafu soma historia ya Burundi ya vita kati ya CNDD ya Nkurunzinza vs jeshi la burundi ili uone wanamkimbia nani exactly.

Hakuna amani nchini burundi,ingekuwa kuna amani huyo nkurunzinza angekuwepo hapo mjini bujumbura
 
Ebu tuondolee upoyoyo wako hapa jamvini,angalia watu wanavyo sherehekea mjini bujumbura,angalia wanajeshi wanavyo shangilia na vifaru mitaani bujumbura,wewe unataka kutwambia kuwa unaijua burundi kuliko wanajeshi waliokuwa wanalipwa mishahara na uongozi wa nkurunzinza?
Nijuavyo mimi mjinga huwaza wote wajinga kama yeye, kwa akili yako ndogo kubishana nawe nikujipotezea muda tu, kikubwa utambue hata Libya walisherehekea lakini yakowapi! unadhan mbowe anaposema ccm wajiandae kuondoka madarakani hajui kuna watu wanaishabikia ccm, wacha kujivika uelewa wakati kipofu wa uelewa, unapaswa utambue kuwa kuna aina nying za vicheko na sikila kicheko nichakufurahi, kushangilia kawaida ya mwanadam lakin rohoni mwake anajua lililopo, usiwe mwepesi kumkashfu mtu wakati Huna sababu ya kumkashifu
 
Mimi ni mtanzania ambaye ninashuhudia jinsi warundi wanavyoteseka nchini mwao kisa rais nkurunzinza kutaka kujiongezea kipindi kingine cha kugombea kiti cha urais,watu wameamua kutumia haki yao kikatiba ya kuwasilisha mawazo yao ya kuandamana,wanauawa kikatili,leo hii tanzania ishawapokea zaidi ya wakimbizi maelfu kutoka burundi,alafu unakuja na mahaba ya huyo nkurunzinza kwa lipi? Kungekuwa na amani burundi kwanini huyo nkurunzinza jana ameshindwa kutua nchini mwake? Marais wote wa eac tayari wote wapo nchini mwao huyo anafanya kitu gani hapa tanzania? Wacha maaba yako yasiyo na tija kwa watanzania.
 
Kwani hujasikia kwamba kuna wanajeshi ambao bado ni watiifu kwa Pierre? Nchi ndio inaingia kwenye civil war kwa ajili ya makamanda wa Jeshi wasio na maamuzi ya busara kama Godefroid, kulikuwa na ugumu gani kusubiri kikao cha usuluhishi kikamilike kwanza, then maamuzi ya kuendelea ama kufanya coup d'etat ndio yangefuatia kutokana na maamuzi ya kikao hicho. Pia profile ya Godefroid inaonyesha wazi kwamba ana chuki dhidi ya Pierre hivyo ilikuwa rahisi kumpindua akiwa nje ya nchi. Bahati nzuri bado Nkurunzinza ana wanajeshi walio upande wake. Godefroid anaweza akaingiza Burundi kwenye civil war.

Atakaye iingiza burundi kwenye civil war ni huyo hasiyetakiwa na wananchi wake
 
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.

Sasa wewe unayajua hayo yote ina maana haujui kwamba Burundi, akigombea mtu ni lazima ana shinda? hata kama ni kwa kura 3? hizo nchi za Rwanda na Burundi hizo ndo siasa zao kwaio wanapokataa asigombee maana wanajua akigombea lazima atashinda hakuna kitu kama kushindwa kwenye sanduku la kura...na pia jamaa wakikujua wewe upo kinyume na nkurunzinza lazima wakuteketeze wewe na familia yako upo hapo jamaa?
 
Juu ya yote mtu anayejiongezea muda wa kutawala' kwanini akumbatiwe? nyuki hakumbatiwi!!!
 
Mmmh!!!!!! hapo ndio ninapoendelea kipenda nchi yangu Tanzania, wanasiasa wanabwabwaja sanaaaaa ila kila mmoja anaogopa kuvuruga amani, hii nchi ukimwacha mtu mmoja anayetamani uraisi kama ufalme wa mbingu ambaye ndio pekee anaweza kuharibu amani ya nchi hii kama mwanasiasa aliyefilisika, basi ni imani za dini ndio zitatupeleka kubaya,

Vurugu zinaumiza wamama na watoto jamani, hivi kwanini ninyi wababa hamfanyi maamuzi ya busara hata kama kuna tatizo, tamaa za madaraka za nini??????? hutakiwi pisha njiaa, nawaonea huruma wanawake watoto tu mimi jamani, waponee wapi hawa watu jamani loh!!

Nusu Glass
Nusu Bob Marley
 
Mimi ni mtanzania ambaye ninashuhudia jinsi warundi wanavyoteseka nchini mwao kisa rais nkurunzinza kutaka kujiongezea kipindi kingine cha kugombea kiti cha urais,watu wameamua kutumia haki yao kikatiba ya kuwasilisha mawazo yao ya kuandamana,wanauawa kikatili,leo hii tanzania ishawapokea zaidi ya wakimbizi maelfu kutoka burundi,alafu unakuja na mahaba ya huyo nkurunzinza kwa lipi? Kungekuwa na amani burundi kwanini huyo nkurunzinza jana ameshindwa kutua nchini mwake? Marais wote wa eac tayari wote wapo nchini mwao huyo anafanya kitu gani hapa tanzania? Wacha maaba yako yasiyo na tija kwa watanzania.
Unakijua kifaransa nikupe link uisome vizuri? siitaji mm na wewe kubishana lakini tambua mgogoro wa burundi unaweza kukuvuruga kichwa, mm kwa sasa nipo safarini natokea MUNANIRA hapa ni mpakani mwa tz na burundi kuna sehem inaitwa MUGABWE wakimbizi wengi hupia hapo kuingia nimepata kuwasikia na kuwaelewa, sitakikelele za kukashfiana kipuzpuz
 
Salva rweyemamu kasema jamaa hakurudi tanzania. Source BBC
 
Unakijua kifaransa nikupe link uisome vizuri? siitaji mm na wewe kubishana lakini tambua mgogoro wa burundi unaweza kukuvuruga kichwa, mm kwa sasa nipo safarini natokea MUNANIRA hapa ni mpakani mwa tz na burundi kuna sehem inaitwa MUGABWE wakimbizi wengi hupia hapo kuingia nimepata kuwasikia na kuwaelewa, sitakikelele za kukashfiana kipuzpuz

Mimi sihitaji kujua unatoka wapi au uko wapi,hapa issue ni kwa tunayo yaona leo hii hapo burundi ni fedheha kubwa sana,ukiona jeshi limeamua kukiuka kiapo jua hapo kuna shida
 
Kwani mke wako akikusaliti na ukagundua kuna haja ya kuanza kufollow historia yake kwamba before alikuaje? Hata mbuyu ulianza kama mchicha, Historia yako inaweza sahaulika ndani ya dk moja kama ukiteleza.Kama majority wameshasema hawakutaki huoni kama kuna tatizo?
Haya lakin wacheni kurahisisha mambo
 
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.

Nimekusoma mkuu,hizi ndio siasa za afrika,watu wapo tayari kupoteza maisha ya wengi kwa ajili ya maslahi yao binafsi
 
Mimi sihitaji kujua unatoka wapi au uko wapi,hapa issue ni kwa tunayo yaona leo hii hapo burundi ni fedheha kubwa sana,ukiona jeshi limeamua kukiuka kiapo jua hapo kuna shida
Wewe nikuulizekitu misri yametokea mapinuzi manga? na ktk hayo mapinduzi hakuna upande ulioshangilia? yakowapi sasa! naona tuishie hapa mm na wewe hojayako ni watu kushangilia au jeshi kupindua, huko nikuwaza bila kufuatilia kwa kina, misri yamefanyika mapunduzi nakumtoa rais na kumuweka wanae mtaka wao baada ya mwakammoja tu wanajesh nao wakafanya yaopia, usihangaike na baadh ya watu kuandamana ukadhan wote hawampend, nikutakie usiku mwema.
 
Kwa maana yako ni kwamba hao watu waliokufa hawana thamani? Nikwanini wafe sababu ya uroho wa mtu mmoja kutaka madaraka? Kama unaridhika watu wafe ili utawale ok,lkn utawatawala kina nani? Au upo radhi kutawala magofu ili mradi uitwe mtukufu rais?Hujanishawishi na sitoshawishika kunambia kuwa burundi kuna amani kwani utakuwa ni unafiki mkubwa sana.
 
Mimi sihitaji kujua unatoka wapi au uko wapi,hapa issue ni kwa tunayo yaona leo hii hapo burundi ni fedheha kubwa sana,ukiona jeshi limeamua kukiuka kiapo jua hapo kuna shida

Jeshi limegawanyika kuna pande mbili
 
Back
Top Bottom