jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Nkurunzinza kalikoroga mwenyewe mwache alibugie
kama wanajeshi wanamuunga mkono bado hajalikoroga.
Nkurunzinza kalikoroga mwenyewe mwache alibugie
kama wanajeshi wanamuunga mkono bado hajalikoroga.
Futa huu uchafu wako uku, kenge mumaji
Yes ana haki sawa, kwanini asiende ngara kuwahi hema lake nayeye?
Kuna msafara nmeuona mda s mrefu kuelekea usawa was Airport sasa sjui in yeye ndo anageuka?Arudi tu kwake, sasa kukaa hapa Dar es salaam wakati anataka kuendelea kuongoza Burudi wapi na wapi? hivi anataka kuiongoza Burudi kwa remote from Dar?
Woga wa nini bro, nenda kapambane na wenzio!!
Kuna msafara nmeuona mda s mrefu kuelekea usawa was Airport sasa sjui in yeye ndo anageuka?