Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

Rais Nkurunzinza yupo Dar es salaam

Kwa sasa atakuwa anachukuliwa kama 'mgeni' wa Serikali, hivyo atakuwa kwenye nyumba mojawapo maalum ya Serikali ('safe house') 'most probably' kwenye kambi ya Jeshi ya karibu na Uwanja wa Ndege wa JKNIA..
 
Nkurunzinza aliombwa na wananchi walio wengi wa Burundi aendelee kuwaongoza ili kulinda amani ya burundi ,hao wanaompinga ni genge tu la wahuni
 
Hili ni funzo tosha kwa Jaji Lubuva...... Kama alikuwa na mpango wa kumsogezea jamaa muda imekula kwao
 
Tatizo Burundi hawatoi taarifa hivyo hatujui nini chaendelea
 
Hzo western media zinawadaganya,demokrasia ipi ndugu,burudi will never be at peace again mayb,ni bora wangeacha jamaa,agombee wamnyime,kura,ama akiiba ndo wapigane lakini huu ujinga walioufanya wa kupindua nchi.?trust me,mzigo ni wetu,niko ngara hapa jana tumetoka kusafisha sehemu watakayo fikia uko lukole,na tumekata miti kadhaa watengeneze mbao zitakazo saidia kujengea makazi yao.the burden is ours,hapo bado akina hussain rajab awajaamsha maskio.kwa haya mapinduzi kwa wanao ijua burudi tht country will never be at piece,hyo nkuruzinz ni mzaliwa wa hapa mpakani na tanzania yan mkoa wa kwanza ukiingia burudi ndo kwao panaitwa ngozi ,magari yake,masemi kibao alishavushia tz mda mrefu ana nyumba zaidi ya kumi hapa ngara ata wale majudge waliompitisha,walivyompitisha tu wakaamia ngozi,wakisubilia mda wowote kuvuka,maana walijua lazima kitanuka tu.
Ikumbukwe kwamba nkurunziza alitokea polin so sio hatari saana kwake kurudi polini,hata kma hatakuwa raisi yeye ila mtu anae mtaka yeye.

Hao wakimbizi wamekuja yeye bado ni rais, sasa hapa sijui kipi kinafanya useme kupinduliwa kwake ni mzigo kwetu.

Iwe iwavyo, burundi itaendelea kuwapo lakini pierre na cndd-fdd ni vitu vya kupita....kama ambavyo wewe na mimi ni wa kupita tu. Huyu rais alishalikoroga na kwa kuwafukuza watu waliomshauri kwa hekima alijitengenezea mazingira hatarishi hata kama angeshinda huu uchaguzi anaolazimisha kugombea.

Duniani hakuna mtu ambaye ni indispensable! Busara ya kawaida ilikuwa ni kufuata nyayo za akina Mwl nyerere ambaye katiba, chama pamoja na wananchi walikuwa wanataka aendelee kuwa rais lkn busara ikamtuma kuachia na wengine, ndivyo na Mandela alivyofanya.

cb
 
Kwani we unajua kipikibaya alicho kifanya? wacha kurahisisha vitu jamaa hakuwa mbaya kwa wanaojua historia ya Burundi

Kweli bhana,hamna sababu ya kum-mistreat wakati hatujui makosa yake,halafu Africa hakuna kiongozi msafi.
 
Burundi iko salama kabisa hao wanaoandamana na hao wakimbizi wanaokimbia burundi ni vichaa?

Sehemu kubwa ya wale wakimbizi ni wale waliowahi kuishi TZ,enzi zile za ukimbizi,sasa hivi wanatumia hayo machafuko km loop hole ya kurudi tena Tanzania.
 
Sehemu kubwa ya wale wakimbizi ni wale waliowahi kuishi TZ,enzi zile za ukimbizi,sasa hivi wanatumia hayo machafuko km loop hole ya kurudi tena Tanzania.
acheni kupotosha hao wakimbizi karibu 40000 wamepokelewa huko kigoma ni watanzania?je hao waliobaki wanaandamana huko burundi ni watanzania?
 
Duh huyu wa kwetu hawezi kuthubutu kujiongea muda kwani alishakiri ameshachoka kuongoza anatamani kupumzika .

Raisi anayelenga kujiongezea muda madarakani huwa hatangazi mapema. Husubir hadi siku chache kabla ya uchanguzi. Kumbuka hata huyu Nkurunziza ametangazwa mwezi wa April mwishoni wakati uchaguzi ulipangwa uwe June 2015.
 
Sehemu kubwa ya wale wakimbizi ni wale waliowahi kuishi TZ,enzi zile za ukimbizi,sasa hivi wanatumia hayo machafuko km loop hole ya kurudi tena Tanzania.
kweli kabisa tena hawa kuna walio anza kurudi mapemaa hata kelele hazijawa kubwa
 
Back
Top Bottom