Rais neno lako halijatujenga

Rais neno lako halijatujenga

Kila mmoja katika nafasi yake, japo kwa viwango tofauti, amewahi kufanya kosa.

Umadhubuti wa kiongozi haupo katika kutofanya kosa bali katika kutafuta suluhisho sahihi baada ya kufanya kosa.

Hatua ya kwanza ya kupata suluhisho sahihi la kosa, ni kukiri umefanya kosa. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,

"..... kukiri upungufu siyo kujidhalilisha bali ni kitendo cha kujiimarisha"

Rais Magufuli, ninaamini amefanya makosa mengi katika kukabiliana na corona. Lakini Watanzania tulikuwa tayari kumsamehe maana corona imekuja kwa mara ya kwanza, na hakuna aliye na uzoefu wa kukabiliana nayo.

Mimi ni mmoja wa wahanga wa corona, mtoto wa kaka yangu katika umri wake wa ujana, amepoteza maisha ya Duniani, na kwa dalili alizopitia, tuna hakika ni corona. Lakini kuna rafiki yangu amepoteza ndugu zake 4 na marafiki wa familia 3. Leo baada ya Rais kumpoteza msaidizi wake wa karibu, kwa dalili zinazoonesha, kwa tatizo la corona, tulitarajia kupata neno la faraja kutoka kwa Rais.

Kuna mambo tuliyatarajia kutoka kwa Rais:

1) Watanzania wote kwa umoja wetu, kukiri kuwa tumepatwa na janga la corona

2) Kukiri kuwa hatujawa na jitihada za dhati kukabiliana na corona

3) Kukiri kuwa tumeishi kimbumbumbu bila hata ya kuwa na jitihada za tafiti za kujua ukubwa wa tatizo

Kisha Serikali ingetangaza hatua za pamoja tunazozichukua kama Taifa.

Badala yake Rais ametaka kuonesha kuwa yeye ni mwenye imani kubwa kwa Mungu kuliko hata maaskofu wetu na mashekhe, na labda kumzidi hata Papa. Yaani tuishi kwa kutegemea miujiza ya Mungu. Mimi ni muumini mkristo mkatoliki, ninatamka kuwa Rais ana upotofu mkubwa wa neno la Mungu. Ni kweli Kristo Yesu alipokuja Duniani aliponya, alifufua na kutenda miujiza mingi. Lakini kama waumini tunatakiwa kujua kwa nini Yesu alitenda miujiza ile? Yesu hakuja kubadilisha mpango wa Mungu, hakuna kuleta mwisho wa magonjwa, mwisho wa vifo vya miili au mwisho wa njaa ya mwili. Bali miujiza ile ililenga kuonesha ukuu wa Mungu, kwamba Mungu akitaka hakuna anachoshindwa. Lakini mpango wake juu ya maisha ya mwanadamu uliachwa vile vile.

Mungu anamshirikisha mwanadamu katika uumbaji, katika kukuza watoto na hata katika uponyaji. Maana yake katika jambo ambalo Mungu anatenda, ameweka ushiriki wa mwanadamu. Usipotaka kushiriki usimjaribu Mungu.

Rais usiwapotoshe watu, wala usipotoshe neno la Mungu.

Yaani sisi tunaowategemea Polisi na wakurugenzi kupora kura, sisi tunaoruhusu wasiojulikana wapoteze na kuua watu wanaotukosoa, sisi tunaowabambikia watu kesi za uhujumu uchumi, leo ndio tuwe na imani kuwazidi Maaskofu na Maimamu na hata Papa, maajabu makuu! Tusimtanie Mungu, tusimchezee Mungu. Mungu anatuvumilia katika uovu wetu kwa sababu anataka kutoa nafasi ya kwetu ya kutubu, badala ya kutubu, tunamjaribu?

Tumwombe Mungu awajalie watawala japo hekima ndogo ya kukabiliana na janga hili la corona. Na wala wasimtumie Mungu kuficha udhaifu wao wa wajibu kama viongozi.

Watawala adhabu yenu mbele za Mungu ni kubwa mnapowapotosha wasio na uelewa. "Ole wao wanaowapoteza wadogo hawa, wanastahili kufungiwa jiwe la kusagie shingoni na kutumbukizwa majini", asema Bwana.

Rais Museveni ana ujumbe maridhawa kwetu naye huyu akiwamo:

IMG_20210220_145427_137.jpg

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Covid ilikuja mara ya kwanza mwaka jana, hili la sasa ni wimbi la pili.

Mara zote Magufuli ameshindwa vibaya sana kuongoza vizuri.
 
Hapo kwenye matokeo ya kura binafsi sasa naamini Mungu wa kwenye Siasa sio huyu tunayemtaja sasa kwa unyenyekevu na kumtegemea kutuvusha kwenye korona. Kama ni yeye basi tuna tatizo kubwa sana na sijui kama tutasamehewa kwa tuliyofanya kwenye chaguzi za local gvment na Uchaguzi Mkuu. Naamini kwa haya tufanyayo tutaadhibiwa zaidi. Kuna familia za watu waleeeee 12elfu waliostafishwa kwa vyeti fake sijui NAO wanaiombea nini Serikali hii pia.

Pumba tupu!! Hivi Tanzania inaweza kuja namikakati zaidi ya uingereza au marekani!? Hao watekelezaji wa mikakati corona inawanyosha mpaka leo!!
Mkakati wetu usioshindwa Ni kumwomba Mungu !
 
Kwani we huwezi kuchukua tahadhari hadi rais akuambie?
Nashangaa mwishowe watamuomba Rais awasaidie kuwatia mimva wake zao kwa wale washika mimba,mbona matatizo yao mengine hawamshirikishi?

Nyoka akiingia ndani ya nyunva zao watamsubiri Rais aje amtoe au awaambie wamtoe?
 
Kuna wajibu wa pamoja kama Taifa, kuna wajibu wa Serikali, na wajibu wa mwananchi mmoja mmoja. Sote tukitenda kwa umoja, mafanikio yake ni makubwa zaidi kuliko jitihada za mtu mmoja mmoja.
Wewe unamtaka Rais aganye nini juu ya korona?aseme tu kuwa kuna korona ndiyo roho zenu zitashuka?
 
Unafahamu, "herd immunity?" Raisi ni muumini wa hiyo. Hataki kinga ili watu wengi waumwe, wa kufa wafe, na wa kupona wapone ila wawe wamejijengea kinga dhidi ya Covid19 katika miili yao!
Ujinga huu walijaribu Brazil na Sweden lakini walitoka kapa na sasa cha moto wanakiona, lakini hata kama hesabu zake ni "herd immunity" ndio kusema amekubali kuwamaliza wazee? imagine wamesota miaka nenda rudi kulitumikia taifa unapofika muda wa kustaafu na kula mafao mnawatoa kafara. By the way chanjo imepatikana na utaratibu kote duniani kwanza ni watu walio kwenye risk group means Wazee, madaktari na manesi lakini bado amegoma. Msimtetee huyu mtu akili zake anazijua yeye mwenyewe na mchawi wa haya yote ni katiba tu.
 
Kiri mwenyewe na familia yako! Sisi na JPM wetu tutaendelea kumkiri Mungu siyo corona!

Ni kama kuangalia nyoka wa shaba badala hao waliokuwa wanawauma wana wa Israeli! Kama umetumwa, nenda kawaambie bado tupo macho na hatuna mpango wa kulala!

Mungu tunaomba uturehemu! Mungu tunaomba utuponye magonjwa yote! Mungu tunaomba uiponye nchi yetu Tanzania, amen! Mungu tunaomba uzidi kumlinda kumuongoza na kumbariki rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu tunaomba uzidi kuilinda na kuibariki nchi yetu Tanzania!
Mungu wa baali sawa
 
Hiyo principle aliitumia Darwin bila mafanikio hadi alipokuja kusahihishwa na kina Mendel na wengine waliogundua na kutumia antibiotic( penicilin).
Kididimo kibaha chadidima! Chakusha isanga lose!
 
Kaka Kididimo . Angalia wafuasi wote wa jamaa, hoja zao ni kama za wendawazimu. Hebu muone mtu kama Jane Lowassa , @idegunde chagu wa malunde . Woote hawa mradi wana sifu na kuabudu
Hao iliowataja sidhani Kama wana akili timamu. Ni wa kupuuzwa na kuonewa huruma. Usije ukakosea wewe au nduguyo ukakubali aoe kwenye hizo koo, itakuwa Ni kuingiza laana ya kizazi chenye low IQ kwenye ukoo wenu.
 
Yaani sisi tunaowategemea Polisi na wakurugenzi kupora kura, sisi tunaoruhusu wasiojulikana wapoteze na kuua watu wanaotukosoa, sisi tunaowabambikia watu kesi za uhujumu uchumi, leo ndio tuwe na imani kuwazidi Maaskofu na Maimamu na hata Papa, maajabu makuu! Tusimtanie Mungu,
 
Nimejaribu kumwomba Mungu kiongozi wetu awe na hakima ili atuongoze vema nakututawala kwa hekima, bado naendelea na maombi, najua Mungu alazimishwi!
 
Kiri mwenyewe na familia yako! Sisi na JPM wetu tutaendelea kumkiri Mungu siyo corona!

Ni kama kuangalia nyoka wa shaba badala hao waliokuwa wanawauma wana wa Israeli! Kama umetumwa, nenda kawaambie bado tupo macho na hatuna mpango wa kulala!

Mungu tunaomba uturehemu! Mungu tunaomba utuponye magonjwa yote! Mungu tunaomba uiponye nchi yetu Tanzania, amen! Mungu tunaomba uzidi kumlinda kumuongoza na kumbariki rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu tunaomba uzidi kuilinda na kuibariki nchi yetu Tanzania!
Hizo sala zenu zinaishia kwenye dari.....wezi wa kura na wanafiki.
 
Afadhali Mungu siyo mwanadamu Athumani! Maana kwa mtazamo finyu namna hii sijui kama maisha yetu hapa duniani yangekuwaje! Asante Mungu wetu Mwenyezi Muumbaji wa Mbingu pamoja na dunia, Mwingi wa rehema, Ujibuye maombi yetu sisi kwa Neema ya msalaba wa Yesu, kwa kutusamehe maovu yetu, kwa kutuponya magonjwa yetu yote, na kwa kuiponya nchi yetu Tanzania, amen!
 
Back
Top Bottom