Rais neno lako halijatujenga

Rais neno lako halijatujenga

Mungu wa baali sawa
Mungu ni Pendo, ww mwenye mungu chuki kaongee na yezebeli! Tusipotezeane muda! Na aisee ninakuhurumia utakapomkuta unayemchukia ameketishwa kwenye pumziko la raha ya milele wakati ww unyachomeka ku moto wa milele! I see, acha chuki hazilipi hata kiduchu!
 
As
Huyo Mungu mnayemuomba naamini hasikii maombi yenu. Mungu wetu Muumba Mbingu na Ardhi, Mmiliki wa kila kitu, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ametupa maarifa ya kujua baya na jema, hukai ukiomba tu Mungu akakupa, bali anasema utafute. Mungu huyu muweza wa yote ndiye amewapa uwezo wanadamu wa kutambu kuwa huu ni ugonjwa ma ili kuutibu fanyeni haya. Mungu wetu muweza hasemi uombe tu, hapana
Asingesikia maombi yetu unafikiri ungekuwa na hadhi ya kuweza kuandika!?
 
Back
Top Bottom