Rais mwenye mawazo ya kuombaomba!

Mawazo mengi ya Mwanakijiji ni illusion . Watanzania lazima tugundue kuwa Tunaishi katika Dunia ambayo Kama hatufuati Ukweli harisia wa mambo hautaweza hata kumove kwenda point B kimaendeleo.

Tanzania has no market mechanism to raise Funds for its development and therefore , Raisi kikwete kama CEO of Tanzania he is doing as any CEO of any company would do and that is to raise Working Capital for its company and in this respect is for Our Country .

Rais kikwete anapokuwa concerned na Hali ya Uchumi wa Dunia ni kama CEO wa kamouni yoyote amabaye yuko interested with the ups and down of Dows Jones Index because ndio sehemu anayo raise capital in this case Kikwete Dows Jones in the Global Economy.

Kwa halihiyo Viongozi wetu wanapo kwenda kutafuta Mikopo some people kama mwanakijiji they want to score a cheap political point and therefore wanawaita Ombaomba.

Mwanakijiji please amka, Pesa nyingi tunazopata Tanzania ni mikopo sio misaada. Badala ya kumhukumu mheshimiwa Raisi naomba utoe practical alternative means amabazo wewe unadai zinaweza kutumika ku raise Funds za kusukuma maendeleo ya Tanzania mbele. Ninaomba uzi publish hapa kwenye Jamii forums.

Tanzania inapata Mikopo na sio misaada, I believe your educated enough to know that ,Pengine tunaweza kuuliza why mikopo mingi ina mashairiti mengi? The answer is simple, masharti mengi yana serve kama collateral kwa ajili ya hiyo mikopo. Also mikopo ni scarce resource hivyo haikufuati ulipo, bali unaenda kuitafuta ilipo.

Mikopo tunayopata Tanzania ni sawa na Mikopo ambayo nchi nyingi za Estern Europe zinapata, na ndio mikopo hii hii imeweza kutransform , uchumi wa chi za ulaya ya mashariki.

Kwahiyo kwa kumalizia ni kwamba tunaweza kumlaumu mheshimiwa Rais kwa Usimamizi mbaya wa matumizi ya Fedha tunazozipata kama mikopo but I wont blame him for opportunities he is outsourcing on behalf of our country .

Nyerere mwenyewe alipinga mikopo lakini mwisho aka realise the need na akatambua kwamba bila kupopa Huwezi kuendeleza nchi .
Mwisho ninaomba unitajie hata Nchi moja ambayo haijawahi kukopa kujiendeleza , Pili nitajie nchi kumi ambazo zina surplus reserve ?

Pia na je hiyo sio Hypocrisy kumwita kikwete Ombaomba wakati na wewe Huwa unaomba michango kwa ajili ya Mwanakijiji.com.

Watanzania tusipotoshwe na mwanakijiji , Kikwete haombi ombi Ila anakopa on behalf of our country. And kukopa is not wrong as long as the funds are used constructively .

Anatia uvivu hata kum murder-machete.I mean the flow is so weak it feels like one would have to commit infanticide macheting this no-flow.
 
Well is up to you to judge my presentation but the truth is ,Pesa azaopewa KIKWETE sio Misaada ni Mikopo.Na mwisho wa siku we going to pay back with Intrest on top.
 
Kwa hiyo what's your point?

Mkopo hauombwi?
 
Huyu jamaa anashangaza kwa kweli.

Sasa kama anahitaji Mwanakijiji aje na mawazo ya ku-raise hizo funds ku-stimulate huo uchumi, mi nadhani kwanza angemuomba bosi wake aombe likizo kwanza ili awaachie watu wenye mawazo chanya hio nafasi ya ku-parform.

Nimemwambia mwanakijiji aje ha hizo alternative way za kuraise Funds becuae he is going to end up with the sources amabzo kikwete anaenda kukopa.
 
Hujajibu swali,

Kikwete hata akipewa msaada hana mkakati wa kututoa katika utegemezi.Binafsi naelewa kuwa bajeti yetu ni tegemezi na hatuna jinsi ila kuomba msaada ili kukidhi mahitaji ya budget yetu ya mwaka ujao wa fedha, lakini the outrage si kuhusu bajeti moja au mbili, ni juu ya ukweli kwamba tunaomba mwaka huu, tutaomba mwaka ujao na unaofuata, na hatuna mkakati wa hakika wa kutuondoa katika kuwa ombaomba.Kwa kweli kadiri miaka inavyoenda umaskini wetu unazidi na tunarudi nyuma, angalau miaka kumi iliyopita tulikuwa tunaweza kujikongoja na bandari / forodha zetu, sasa hata bandari / forodha zinatushinda, kutoa mfano mmoja tu.

Tanzania haina rais, ipo kwenye autopilot

Halafu unakataa haombi misaada ona hapa chini

Africa Conference Debates Way Forward Amid Crisis » Africa is changing...

Title: IMF: Joint Statement from Jakaya Kikwete, President of Tanzania; Dominique Strauss-Kahn, MD of the International Monetary Fund; and Kofi Annan, Chairperson of the Africa Progress Panel at the IMF conference in Dar es Salaam

This is the worst economic crisis of our lifetimes, affecting the lives and hopes of people around the world. As leaders of the G20 countries prepare to meet in April, we believe it is vitally important that Africa's needs are addressed. With this in mind, President Kikwete and the IMF invited African policymakers, development partners, the private sector and civil society to meet in Dar-es-Salaam on March 10-11 to assess the impact of the crisis on Africa's economic future. We share a deep concern about the enormous human cost of the crisis, and its potential to jeopardize peace and stability.

The African ministers and governors, together with the IMF, released a Joint Declaration at the end of the conference. This calls for a series of actions to protect and sustain Africa's recent achievements in raising growth and reducing poverty. This crisis requires an urgent response from us all.
• The international community must fulfil the promises already made to increase aid flows significantly. More resources for the poorest are urgently needed, including through doubling of the IMF's concessional resources. Countries must also pursue efforts to open further to trade with Africa.
• African nations must continue to strengthen their economic policies, and to ensure good governance, which can not be sacrificed in this time of crisis. Further efforts also are needed to create the environment that will attract private investment.
• The IMF must increase its support for Africa with more financing, greater flexibility, enhanced policy dialogue, and a further strengthening of Africa's voice in the Fund.

Global solidarity is essential if we are to meet the severe challenges facing Africa and the world. Africa must be a part of the solution to the global economic crisis facing Africa and the world, and Africa must be fully represented in the evolving global architecture. Our discussions in Dar-highlighted in the Joint Declaration-point the way for us all.
 
Last edited:
mikopo = misaada?
mikopo = deni?
mikopo = hisani?

Misaada ni nini na mikopo ni nini? Je, misaada yote ni mikopo na mikopo yote si misaada? Je ni lazime tukope kwa kitu ambacho tunauwezo nao? Ni vitu gani ambavyo ni muhimu kukopa? Sera yetu ya ukopaji ikoje? Je sera yetu ya misaada ya kigeni ikoje?

Kuomba omba kubaya sana
Kuomba omba kubaya sana
Usiombe, usiombe, jitegemee!x2

Sijui kwanini wana CCM hawaimbi huo wimbo tena!
 
LeoKweli,

..lakini mbona Raisi wetu anatanua utafikiri ni Raisi wa nchi tajiri inayotoa mikopo?

..tena akisafiri kwenda nje kuomba mikopo serikali nzima inakuwepo uwanja wa ndege kumuaga.

..akirudi nyumbani toka kuomba mikopo, tena bila hata uhakika kama amekopeshwa ama la, serikali nzima huwa uwanja wa ndege kumlaki.

..wengine tulikuwa tukimpigia kelele Raisi wetu aachane na ufujaji fedha wa kufunga safari kutembelea vilabu vya mpira kama Real Madrid. Watanzania wenzetu wakawa wanatuona wajinga.

..wakati huo hali ya uchumi na fedha duniani ilikuwa bado ni nzuri. i guess sasa hivi tunajutia jinsi fedha zile zilivyofujwa na kutapanywa kwa kutembelea Real Madrid, na kutafuta waganga wa mvua toka Thailand.
 
Mawazo mengi ya Mwanakijiji ni illusion . Watanzania lazima tugundue kuwa Tunaishi katika Dunia ambayo Kama hatufuati Ukweli harisia wa mambo hautaweza hata kumove kwenda point B kimaendeleo.

Tanzania has no market mechanism to raise Funds for its development and therefore , Raisi kikwete kama CEO of Tanzania he is doing as any CEO of any company would do and that is to raise Working Capital for its company and in this respect is for Our Country .

Rais kikwete anapokuwa concerned na Hali ya Uchumi wa Dunia ni kama CEO wa kamouni yoyote amabaye yuko interested with the ups and down of Dows Jones Index because ndio sehemu anayo raise capital in this case Kikwete Dows Jones in the Global Economy.

Kwa halihiyo Viongozi wetu wanapo kwenda kutafuta Mikopo some people kama mwanakijiji they want to score a cheap political point and therefore wanawaita Ombaomba.

Mwanakijiji please amka, Pesa nyingi tunazopata Tanzania ni mikopo sio misaada. Badala ya kumhukumu mheshimiwa Raisi naomba utoe practical alternative means amabazo wewe unadai zinaweza kutumika ku raise Funds za kusukuma maendeleo ya Tanzania mbele. Ninaomba uzi publish hapa kwenye Jamii forums.

Tanzania inapata Mikopo na sio misaada, I believe your educated enough to know that ,Pengine tunaweza kuuliza why mikopo mingi ina mashairiti mengi? The answer is simple, masharti mengi yana serve kama collateral kwa ajili ya hiyo mikopo. Also mikopo ni scarce resource hivyo haikufuati ulipo, bali unaenda kuitafuta ilipo.

Mikopo tunayopata Tanzania ni sawa na Mikopo ambayo nchi nyingi za Estern Europe zinapata, na ndio mikopo hii hii imeweza kutransform , uchumi wa chi za ulaya ya mashariki.

Kwahiyo kwa kumalizia ni kwamba tunaweza kumlaumu mheshimiwa Rais kwa Usimamizi mbaya wa matumizi ya Fedha tunazozipata kama mikopo but I wont blame him for opportunities he is outsourcing on behalf of our country .

Nyerere mwenyewe alipinga mikopo lakini mwisho aka realise the need na akatambua kwamba bila kupopa Huwezi kuendeleza nchi .
Mwisho ninaomba unitajie hata Nchi moja ambayo haijawahi kukopa kujiendeleza , Pili nitajie nchi kumi ambazo zina surplus reserve ?

Pia na je hiyo sio Hypocrisy kumwita kikwete Ombaomba wakati na wewe Huwa unaomba michango kwa ajili ya Mwanakijiji.com.

Watanzania tusipotoshwe na mwanakijiji , Kikwete haombi ombi Ila anakopa on behalf of our country. And kukopa is not wrong as long as the funds are used constructively .

...kama watu walio karibu na JK ndio wa aina hii....no wonder JK anaendela kuboronga siku hadi siku........

Leokweli

.......ukiyasoma maelezo ya mwanakijiji constructively........ungekuwa katika nafasi nzuri sana ya kumsaidia JK
 
No, jamaa anapenda kuomba, lakini ni viongozi wetu wengi Africa, siyo peke yake. Unataka hoja mbadala ?
- Angechanga hela za ndani kama alivyofanya kui-finance TANESCO mwaka jana kwa $ 300 million.Hela hizi zilikopeshwa TANESCO kutoka mabenki ya ndani pamoja na mashirika yetu ya akiba ya uzeeni. Local raised funds.
- Enzi za Mkapa [ na ufisadi wake wote } walianzisha TANROADS ambayo ilikuwa inajitegemea kutokana na mfuko mahsusi wa kodi kwa ajili ya barabara tu, mfuko huu ulikuwa na mafanikio makubwa sana enzi za Magufuli kabla siasa hazijaingizwa katika uendeshaji wake. Hela zake nyingi zilitoka humuhumu TZ.
- Tukienda jirani zetu Uganda wanajenga bwawa la umeme la dola bilioni moja !! from local raised funds. Walianzisha mfuko wa akiba maalum kwa ajili ya ujenzi huu na baada ya miaka michache ujenzi unaanza.
- Kama wananchi wananunua shares za bank mpaka wanarudishiwa hela kutokana na shares kuwa oversubscibed...... guess what... wanaweza ku-issue bonds ambazo will be backed by the govt of Tanzania na wananchi kununua. Hivi ndiyo nchi zote ambazo zipo serious na maendelo ya wananchi wake wanapata mitaji wa kuanzisha miradi mikubwa kwa manufaa ya wananchi wao. Sisi leo tunashindwa $ 200 milioni kuongeza another 500 MW za umeme Kiwira. Tunashindwa Milioni 200 za kujenga kiwanda cha mbolea Mtwara.
Kuna conclusion mbili , either tunapenda kuomba, au siyo wabunifu. Ukiwaambia siyo wabunifu wanakataa. The only other conclusion ni kwamba wanapenda kuomba-omba !!!
 
Si juzi tuu hapa serikali imenunua mashangingi kadhaa wakati inajua kabisa kwamba uchumi unakwenda kubaya? Na Mhe raisi alipoulizwa na Isha Sessay pale BOT alijibu nini? Yaani hana hata plan, si angesema tuu kwenda kuomba! Kuna mambo mengi sana ambayo serikali inaweza kupunguza matumizi yake ili kupambana na matatizo yake. yaelekea huwa husomi thread ukazielewa.
 
No, jamaa anapenda kuomba, lakini ni viongozi wetu wengi Africa, siyo peke yake. Unataka hoja mbadala ?
- Angechanga hela za ndani kama alivyofanya kui-finance TANESCO mwaka jana kwa $ 300 million.Hela hizi zilikopeshwa TANESCO kutoka mabenki ya ndani pamoja na mashirika yetu ya akiba ya uzeeni. Local raised funds.
- Enzi za Mkapa [ na ufisadi wake wote } walianzisha TANROADS ambayo ilikuwa inajitegemea kutokana na mfuko mahsusi wa kodi kwa ajili ya barabara tu, mfuko huu ulikuwa na mafanikio makubwa sana enzi za Magufuli kabla siasa hazijaingizwa katika uendeshaji wake. Hela zake nyingi zilitoka humuhumu TZ.
- Tukienda jirani zetu Uganda wanajenga bwawa la umeme la dola bilioni moja !! from local raised funds. Walianzisha mfuko wa akiba maalum kwa ajili ya ujenzi huu na baada ya miaka michache ujenzi unaanza.
- Kama wananchi wananunua shares za bank mpaka wanarudishiwa hela kutokana na shares kuwa oversubscibed...... guess what... wanaweza ku-issue bonds ambazo will be backed by the govt of Tanzania na wananchi kununua. Hivi ndiyo nchi zote ambazo zipo serious na maendelo ya wananchi wake wanapata mitaji wa kuanzisha miradi mikubwa kwa manufaa ya wananchi wao. Sisi leo tunashindwa $ 200 milioni kuongeza another 500 MW za umeme Kiwira. Tunashindwa Milioni 200 za kujenga kiwanda cha mbolea Mtwara.
Kuna conclusion mbili , either tunapenda kuomba, au siyo wabunifu. Ukiwaambia siyo wabunifu wanakataa. The only other conclusion ni kwamba wanapenda kuomba-omba !!!

Kuhusu TANROAD mheshimiwa you wrong it was Financed by World Bank, Norway and Tanzania.

Hata kama Tunaweza ku raise Funds locally still is not enough to push foward the Growth we need in Tanzania and the Funds tunazozitoa locally kufinance big projects will just put a hole on the other side of the economy.

Ninacho kuunga mkono ni kwamba in Tanzania We are not Creative enough.
 
Nimemwambia mwanakijiji aje ha hizo alternative way za kuraise Funds becuae he is going to end up with the sources amabzo kikwete anaenda kukopa.

Hoja ya kutafuta funds inatakiwa iende sambamba na mipango na unatumiaje hizo pesa...hivi ni vitu ambvyo vinatakiwa viende sambamba..na bahti mbaya Prezidaa wako unayeusemea moyo wake..hajui kuwa hajui nini cha kufanya..
 
Mawazo mengi ya Mwanakijiji ni illusion . Watanzania lazima tugundue kuwa Tunaishi katika Dunia ambayo Kama hatufuati Ukweli harisia wa mambo hautaweza hata kumove kwenda point B kimaendeleo.

Tanzania has no market mechanism to raise Funds for its development and therefore , Raisi kikwete kama CEO of Tanzania he is doing as any CEO of any company would do and that is to raise Working Capital for its company and in this respect is for Our Country .

Rais kikwete anapokuwa concerned na Hali ya Uchumi wa Dunia ni kama CEO wa kamouni yoyote amabaye yuko interested with the ups and down of Dows Jones Index because ndio sehemu anayo raise capital in this case Kikwete Dows Jones in the Global Economy.

Kwa halihiyo Viongozi wetu wanapo kwenda kutafuta Mikopo some people kama mwanakijiji they want to score a cheap political point and therefore wanawaita Ombaomba.

Mwanakijiji please amka, Pesa nyingi tunazopata Tanzania ni mikopo sio misaada. Badala ya kumhukumu mheshimiwa Raisi naomba utoe practical alternative means amabazo wewe unadai zinaweza kutumika ku raise Funds za kusukuma maendeleo ya Tanzania mbele. Ninaomba uzi publish hapa kwenye Jamii forums.

Tanzania inapata Mikopo na sio misaada, I believe your educated enough to know that ,Pengine tunaweza kuuliza why mikopo mingi ina mashairiti mengi? The answer is simple, masharti mengi yana serve kama collateral kwa ajili ya hiyo mikopo. Also mikopo ni scarce resource hivyo haikufuati ulipo, bali unaenda kuitafuta ilipo.

Mikopo tunayopata Tanzania ni sawa na Mikopo ambayo nchi nyingi za Estern Europe zinapata, na ndio mikopo hii hii imeweza kutransform , uchumi wa chi za ulaya ya mashariki.

Kwahiyo kwa kumalizia ni kwamba tunaweza kumlaumu mheshimiwa Rais kwa Usimamizi mbaya wa matumizi ya Fedha tunazozipata kama mikopo but I wont blame him for opportunities he is outsourcing on behalf of our country .

Nyerere mwenyewe alipinga mikopo lakini mwisho aka realise the need na akatambua kwamba bila kupopa Huwezi kuendeleza nchi .
Mwisho ninaomba unitajie hata Nchi moja ambayo haijawahi kukopa kujiendeleza , Pili nitajie nchi kumi ambazo zina surplus reserve ?

Pia na je hiyo sio Hypocrisy kumwita kikwete Ombaomba wakati na wewe Huwa unaomba michango kwa ajili ya Mwanakijiji.com.

Watanzania tusipotoshwe na mwanakijiji , Kikwete haombi ombi Ila anakopa on behalf of our country. And kukopa is not wrong as long as the funds are used constructively .

Mimi nasema kama kweli angelikua si omba omba basi asingetumia pesa vibaya ambazo hana mipango thabiti ya kuzitafuta, akilini mwake anajua ah.. ntapata tu kutoka kwa Brown. Pia suala lingine ni serikali yake kutokuwa na priorities, kila siku yeye na watendaji wake ni kukrupuka tu na kutangaza mambo ambayo hayatekelezeki.

Vyovyote iwavyo, hakuna rais wa Tanzania ambaye hajawahi kuwa omba omba, labda kidogo mwl. nyerere.
 
Nimemwambia mwanakijiji aje ha hizo alternative way za kuraise Funds becuae he is going to end up with the sources amabzo kikwete anaenda kukopa.

Alternative way ya kuraise fund ni hii hapa. Kikwete alipoamua kujenga chuo kikuu cha Dodoma, alikwenda marekani na kukutana na watu mbali mbali ili wamsaidie kukamilisha chuo hicho. Mtu mmoja wapo aliyekutana nae ni Bill Gates. Wazo la kuanzisha chuo lilikuwa zuri. Angeamua kukusanya hapa nchini angepata. Mfano angeitisha harambee, wakaalikwa watu mbalimbali, Je wasingechangia? Mbona harambee za CCM watu wanachangia mabillion?. Njia nyingine, tuna wakulima na wafanyakazi, kwa wakulima, unaweza kuwahamasisha kabla ya msimu wa mvua kuanza kuwa yule anayewiwa aongeze kwenye uzalishaji wake angalau gunia moja la mahindi (mfano), yanaweza kuwa mazao mbalimbali, ambayo yatakapo vunwa yanakusanywa na kisha kuuzwa. Pia kwa wafanya kazi unawahamasisha wachangie kwa jinsi wanavyo jisikia. Kumbukeni chuo cha Kivukoni, kilijengwa miaka ya 50 kutokana na michango ya watanganyika wa wakati ule. Je hali yetu ya maisha kwa sasa ni mbaya sana ukilinganisha na wenzetu walioishi miaka 50 (kabla ya Uhuru? Katika yote haya cha msingi Selikari yenyewe ionyeshe uadilifu na nidham ya hali ya juu kwenye matumizi, sio kuomba michango kutoka kwa wananchi huku watu wanafuja na kutembelea magari ya kifahali. Ila kwa vile wananchi wamepoteza iman na selikari yao au kwa watendaji wa selikari, ndio maana ni vigumu kwa rais kuchukua uamuzi kama huu.
 
Last edited:
Mawazo mengi ya Mwanakijiji ni illusion . Watanzania lazima tugundue kuwa Tunaishi katika Dunia ambayo Kama hatufuati Ukweli harisia wa mambo hautaweza hata kumove kwenda point B kimaendeleo.

Tanzania has no market mechanism to raise Funds for its development and therefore , Raisi kikwete kama CEO of Tanzania he is doing as any CEO of any company would do and that is to raise Working Capital for its company and in this respect is for Our Country .

Rais kikwete anapokuwa concerned na Hali ya Uchumi wa Dunia ni kama CEO wa kamouni yoyote amabaye yuko interested with the ups and down of Dows Jones Index because ndio sehemu anayo raise capital in this case Kikwete Dows Jones in the Global Economy.

Kwa halihiyo Viongozi wetu wanapo kwenda kutafuta Mikopo some people kama mwanakijiji they want to score a cheap political point and therefore wanawaita Ombaomba.

Mwanakijiji please amka, Pesa nyingi tunazopata Tanzania ni mikopo sio misaada. Badala ya kumhukumu mheshimiwa Raisi naomba utoe practical alternative means amabazo wewe unadai zinaweza kutumika ku raise Funds za kusukuma maendeleo ya Tanzania mbele. Ninaomba uzi publish hapa kwenye Jamii forums.

Tanzania inapata Mikopo na sio misaada, I believe your educated enough to know that ,Pengine tunaweza kuuliza why mikopo mingi ina mashairiti mengi? The answer is simple, masharti mengi yana serve kama collateral kwa ajili ya hiyo mikopo. Also mikopo ni scarce resource hivyo haikufuati ulipo, bali unaenda kuitafuta ilipo.

Mikopo tunayopata Tanzania ni sawa na Mikopo ambayo nchi nyingi za Estern Europe zinapata, na ndio mikopo hii hii imeweza kutransform , uchumi wa chi za ulaya ya mashariki.

Kwahiyo kwa kumalizia ni kwamba tunaweza kumlaumu mheshimiwa Rais kwa Usimamizi mbaya wa matumizi ya Fedha tunazozipata kama mikopo but I wont blame him for opportunities he is outsourcing on behalf of our country .

Nyerere mwenyewe alipinga mikopo lakini mwisho aka realise the need na akatambua kwamba bila kupopa Huwezi kuendeleza nchi .
Mwisho ninaomba unitajie hata Nchi moja ambayo haijawahi kukopa kujiendeleza , Pili nitajie nchi kumi ambazo zina surplus reserve ?

Pia na je hiyo sio Hypocrisy kumwita kikwete Ombaomba wakati na wewe Huwa unaomba michango kwa ajili ya Mwanakijiji.com.

Watanzania tusipotoshwe na mwanakijiji , Kikwete haombi ombi Ila anakopa on behalf of our country. And kukopa is not wrong as long as the funds are used constructively .

Kweli pamoja na kusoma, bado ujaelimika kabisa kabisa, watu kama nyiye hata kama mngetumia miaka 100 darasani ni kama zero kabisa. Rais azunguke dunia nzima kukinga mikono na mikopo, akirudi nyumbani, hizo mikopo na misaada unatumia kununua (magari yakifari, Rada kwa 40billion badala ya 25billion, unanunua jet kwa 40billion badala ya 20billion, unalipa capacity charge kwa wawekezaji wa umeme badala ya kununua mitambo yako kwa bei ya chini, lakini wewe unaamua kukodi, unatumia hizo pesa za misaada na mikopo kununua ndege mbovu za ATCL, unatumia pesa hizo unapeleka kwenye account zako nje ya nchi. Hizi shule za kulili na kupata A+ ni bure kabisa.
 
Well is up to you to judge my presentation but the truth is ,Pesa azaopewa KIKWETE sio Misaada ni Mikopo.Na mwisho wa siku we going to pay back with Intrest on top.

Yote ni mikopo kweli? Nchi wahisani zazo zinakopesha?
 
Well is up to you to judge my presentation but the truth is ,Pesa azaopewa KIKWETE sio Misaada ni Mikopo.Na mwisho wa siku we going to pay back with Intrest on top.

Leokweli,
Sisi wengine ni wavivu wa ku-comment; ila unapoleta topic kama hii ndipo we question ourselves (in case you're near to the president) our president is surrounded by a jungle of uninformed!! Kwanza umeanza kwa propaganda kuonya kuwa tusibabaishwe na Mwanakijiji; halafu umekuja na definition za ajabuajabu, ati misaada ndiyo mikopo!

Wimbo wa JK umekuwa kuomba, kuomba; misaada misaada; unajua misaada tuliyopata inpaita hata mikopo tuliyokopa; ati least every nation in Europe being Europe/East Europe or America; even Asia has given us money (nimetumia at least). Hivi unaweza kuamini kuwa tunasaidiwa hata na Irani au Turkey au zama zile Romania na Bulgaria?

Unasema kuhusu CEO ku-raise capital; yes, but a CEO does that after he has presented a very good plan which can convince investors. Huyu ana plan gani? Africa mmepewa AGO mmeshindwa, Europe Everything but not Weapons and Drugs - mmeshindwa! Wachina wameondoa duty zote kwa Africa - mmeshindwa; sasa hawa wachumi wetu na Rais wao wanafanya nini?
Let me tell one thing; at least our thief and dictator Mkapa tried a bit to raise funds and tried to invest in infrastructure and agriculture. Hata Nyerere at least! Lakini huyu, hana hata mwelekeo. Amenda Marekani mara ngapi; Uarabuni mara ngapi, Asia? etc.

Uchumi wowote ule kukua unatokana na watu wa nchi husika. And let go back to our basics and follow the same foot prints:
Maendeleo hutokana na:
1. Siasa Safi - Responsibility, Planning, good governance from our people who are leading us like Mr. Kikwete.
2. Ardhi - We transform our land to benefit us; the contents of the earth, infrastructures, shelter, and Agriculture to feed our people.
3. Watu - A good quality people, organised people, eductated, informed, responsible and cultured
4. Uongozi bora all explained by 1 above.

Kama kweli hawa ma Rais wetu wako serious wange-at least structure agriculture, and also export oriented economy! But what they are doing? Misaada, Misaada Misaada!!!
 
Watanzania wana matatizo gani?

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara. Maybe hatuna elimu ya kutosha, hivyo kukosa maarifa na uwezo wa kutambua nini cha kufanya ili kuboresha maisha yetu. Hii ni pamoja na kutumia fursa yetu ya kikatiba ipasavyo, kuchagua viongozi tunaowataka. Labda hatujipendi, hivyo hatujishughulishi kujenga jamii iliyo bora. Ukiangalia sana, wengi wetu hatufikirii kufanya mambo - that will make the whole society better off. Hii ni kuanzia Professors (tunaowategemea kufanya utafiti kutafuta majibu ya matatizo yetu) mpaka wanasiasa [basically, they are as good as useless!] na mainjinia tunaowategemea kujenga miundo mbinu iliyo thabiti na waalimu waliopewa dhamana ya kuandaa taifa lililojaa maarifa na ubunifu. Otherwise, tatizo letu litakuwa genetical or something beyond human understanding.

This is interesting! Ukiangalia tunavyowalaumu viongozi utafikiri walichukua madaraka kwa nguvu au wanaongoza mawe [na si watu]. Tunasahau kabisa ukweli kuwa hawa viongozi tumewachagua wenyewe - ili kufanya mambo kwa maslahi yetu sote. Kama wanafanya vinginevyo, wanaoweza kuwatoa madarakani ni sisi tuliowaweka. Inawezekana je Kiongozi uliyechaguliwa "kidemokrasia" kuongoza watu wasiokuwa na imani na wewe?
 
Ningejiuzulu!

Wishful thinking! ulisha jiuzulu na kuwajibika mangapi? tupe experience yako ya uwajibakaji! sana sana umekimbia Tanzania na kuhamia merekani huku ukitumia mtandao kupotosha na kumwaga fitna kwa JMK kila kukicha. Sababu? za uzushi na ku twist ukweli unazo nyingi.

Wewe binafsi kilicho kukurupuwa Tanzania na kukaa huko uliko kama sio uomba-omba na ulimbukeni ni nini?

Njoo Tanzania upande majukwaani uone joto ya jiwe.

Hizo zako ndio Six anazosema siasa za maji taka, tena ooppsss, siasa? nimekosea, kwa siasa huna! ni fitina za maji taka.
 
Back
Top Bottom