Rais Museveni asimamisha msafara wake na kuketi barabarani kupokea simu ya mkononi

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818

Rais Mseveni aliamua kusimamisha msafara wake na kushuka ili aweze kupokea simu.Hali hiyo ikafanya wasaidizi wake wampe na kiti kabisa ili asikilize simu yake kwa raha na amani bila bughuza.Simu hiyo inaonekana ilikuwa muhimu sana kiasi Rais hakutaka mazungumzo yake kusikilizwa na wasaidizi wake wala walinzi wakec
 
Msafara ni wakwake umesema ajabu nini kusimamisha kitu chake,! Mimi nikajua ulikuwa siyo msafara wake.
 
Kiki nyingine za kipuuzi sana
Huyu mzee pale Kampala kuna msanii mmoja alikuwa mwalimu, basi jamaa huwa anajifanya yeye ni M7 , na Museveni mwenyewe kakubali na kumuajiri kabisa
Kuna misafara hupita mjini na jamaa huyo msanii akijifanya ni M7 upuuzi mtupu
 
Kwahiyo wanaoendesha servers za kutunzia kumbukumbu za mawasiliano hawajui lolote kuhusu maongezi yake?
 
Kwani asingeamua kupiga picha mngejua yaliyojiri? Unadhani lengo lake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…