Rais Museveni asimamisha msafara wake na kuketi barabarani kupokea simu ya mkononi

eb819a52936fbe5ae1c0777a3cbbce37.jpg

Hawa ndio wale wakikosa madaraka wanatembelewa na kila aina ya magonjwa nyemelezi!!!

Africa kweli ni black continent

natamani ningekuwa mimi

Mwenzenu anapima viwanja na maheka ya mashamba kwa mustakabli wa familia yake..... nyie mnamnshangaa!!:p:p:p

inaitwa M7 show.

show hizi zitaenea throughout EAC with the exception of Kenya kwani wenzetu pale walau wana "bingo" (katiba ya wananchi).

Zone ya wajinga 90 % ya watu wa East Africa ni mazombi with exception of Kenya
 
Zone ya wajinga 90 % ya watu wa East Africa ni mazombi with exception of Kenya

kuna kaukweli fulani. angalia hata kwa upande wa Tanzania...mikoa yetu inayopakana na KE ndiko watu wako more conscious na umuhimu wa kuwaondoa from their perch hawa wakoloni weusi.
 
Majeshi yetu yafanye kitu kwa hawa viongozi wetu,maana kwa kura hawataachia madaraka.
 
Haya ndio matatizo ya michepuko kukupigia simu bila tahadhari. Wengine huipokea bafuni au chooni, huyu kaamua kufanya bonge la show.
 
kuna kaukweli fulani. angalia hata kwa upande wa Tanzania...mikoa yetu inayopakana na KE ndiko watu wako more conscious na umuhimu wa kuwaondoa from their perch hawa wakoloni weusi.
Watu wa kaskazini mnachutama mkisikia kenya...wote mambulula
 
Rais kwa miaka zidi 30 kisha wananchi wake hawana hata viatu...ni aibu sana uroho wa madaraka na insecurity yake inawaangamiza waganda
 
The worst guy I have ever seen, bt also most Ugandans are stupid beings cz u can't be suffering and DA guy is not doing anything to help except stealing money and again u go ahead and vote him
 
Back
Top Bottom