Rais mtarajiwa akikata mbuga ziwani

Hamna lolote....sasa mpeni nchi muone.....mi kwangu wote hawafai ndio maana sintopiga kura....kwa nje ni rahisi kuropoka kuwa utafanya nii ukiingia magogoni....ila ukishaingia mambo yote ni tofauti.....watch out!

mwenye akili isiyo mgando hawezi waza kama wewe! umejuaje akiingia ikulu atavurunda? au unadhani wote km ccm? jaribu tuone yupi bora 2015 si kuna uchaguzi tena? ni maamuzi tuu!
 
Kama nyerere,kuna picha nyerere alikuwa amekaa chini pembeni kukawa na kijana sijui alikuwa anamtoa mwiba au kumkata kucha.
Nyerere alikuwa kavaa kombat kama ya CHADEMA
Mwenye iyo picha anaweza iweka apa
 
Nadhan watanzania wanapaswa maana mbinu ni nyingi za kuwarubun wananchi ilmradi mtu aingie ikulu
 
na hawa nao walikuwepo

jk+na+mzee+songambele+na+wana+ccm+wa+songea+wakisakata+rhumba+baada+ya+jk+kumaliza+kuhutubia+uwanja+wa+majimaji+leo.jpg
brotherman anasaga rumba hapo na mdomo kakunja. Big upo mr. President
 
Angekua makini asingetongoza mke wa mtu,hayupo makin tangu utoto ndio mana kaz aliyoipenda kulko zote(upadre)aliitema kisha akachagua mke kwa hiyari yake bila kushawishiwa na mtu bado akamuacha,alafu akaacha ubunge kugombea urahisi akiwa anajua awezi kushinda kwa kuhaidiwa milioni saba kwa wiki.lingne akakitongozesha chama kwa chama cha bwana kamerun bila umakin kama kawaida yake uko nako kameruni akatangaza ufirani akaduwaa kimyaaaa!hakika kama uhakika wa huyo presida wenu ndo huo baaaasi!
 
kuna mtu mchafu kama mkuu wa magamba???anatongoza hadi watotonwa shule mi nadhani tungetumia hoja kujib hoja na si udaku na maisha binafsi ya mtu!
 
mmmhh jk noma kwa kuuza sura hasa kwa walemavu na watu ambao lazima akiwano atajulikana..
 
Angekua makini asingetongoza mke wa mtu,hayupo makin tangu utoto ndio mana kaz aliyoipenda kulko zote(upadre)aliitema kisha akachagua mke kwa hiyari yake bila kushawishiwa na mtu bado akamuacha,alafu akaacha ubunge kugombea urahisi akiwa anajua awezi kushinda kwa kuhaidiwa milioni saba kwa wiki.lingne akakitongozesha chama kwa chama cha bwana kamerun bila umakin kama kawaida yake uko nako kameruni akatangaza ufirani akaduwaa kimyaaaa!hakika kama uhakika wa huyo presida wenu ndo huo baaaasi!
Kweli wewe punga, yani pumba tupu wangese kama nyinyi mpo wachache sana jamvini.
 
angekuwa jk angekua ndani ya benzi na msafara mkubwa usiopungua watu ishirini ila rais wetu very simple anajali watu na anaakili sana

Hii kali yaani jamaa kampanda mtu kama punda halafu unasema ana akili na ana wajali watu! kwa kuapanda? huu ni kuudhalilisha utu wa mwafrika!
 
Back
Top Bottom