Wakati wa Nyerere Vetting ilifanyika hadi Vijijini kujua Matendo ya mtarajiwa alipokuwa na Umri wa miaka 12 hadi 18!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Nyerere aliamini tabia ya Mtu akiwa na miaka 12-14 ndio itakuwa tabia yake halisi maishani

Yaani akiwa Mdokozi basi Huyo ni Fisadi au Mwizi mtarajiwa Ukubwani

Akiwa anapenda kufundisha basi Huyo ni Mwalimu au Mtumishi wa Mungu mtarajiwa nk...nk

Hata sasa twaweza kuwapima hawa Wateule Wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nyerere ndo umetufikisha hapa tulipo kwa kulea chama chake na dini yake kutawala, bila kuzingatia uwezo wao, alikua "a double standard" president.
 
Nyerere aliamini tabia ya Mtu akiwa na miaka 12-14 ndio itakuwa tabia yake halisi maishani

Yaani akiwa Mdokozi basi Huyo ni Fisadi au Mwizi mtarajiwa Ukubwani

Akiwa anapenda kufundisha basi Huyo ni Mwalimu au Mtumishi wa Mungu mtarajiwa nk...nk

Hata sasa twaweza kuwapima hawa Wateule Wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkapa alikuwaje udogoni!?
 
Na bado nchi ikamshinda!
 
Hata sasa twaweza kuwapima hawa Wateule Wetu
Sasa hivi vetting kinachotazamwa familia yenu kama ina DNA za Jembe na Nyundo!
 
Nyerere aliamini tabia ya Mtu akiwa na miaka 12-14 ndio itakuwa tabia yake halisi maishani

Yaani akiwa Mdokozi basi Huyo ni Fisadi au Mwizi mtarajiwa Ukubwani

Akiwa anapenda kufundisha basi Huyo ni Mwalimu au Mtumishi wa Mungu mtarajiwa nk...nk

Hata sasa twaweza kuwapima hawa Wateule Wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hii inamaanisha hata 2014 ilitakiwa ifanyike vetting!! Imagine school dogo alikua anavunja mpaka madirisha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nyerere aliamini tabia ya Mtu akiwa na miaka 12-14 ndio itakuwa tabia yake halisi maishani

Yaani akiwa Mdokozi basi Huyo ni Fisadi au Mwizi mtarajiwa Ukubwani

Akiwa anapenda kufundisha basi Huyo ni Mwalimu au Mtumishi wa Mungu mtarajiwa nk...nk

Hata sasa twaweza kuwapima hawa Wateule Wetu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Najaribu kupiga picha, akiwa darasa la pili January jr atakuwa aliiba Chaki zote
 
Back
Top Bottom