Rais mtarajiwa akikata mbuga ziwani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Beba.jpg
 
angekuwa jk angekua ndani ya benzi na msafara mkubwa usiopungua watu ishirini ila rais wetu very simple anajali watu na anaakili sana
 
Kijana ameonyesha uzalendo mkubwa kumbeba rais na mkumbozi wa Tanzania alipokuwa akishuka kwenye Boti huko Ziwa Tanganyika
 
Hamna lolote....sasa mpeni nchi muone.....mi kwangu wote hawafai ndio maana sintopiga kura....kwa nje ni rahisi kuropoka kuwa utafanya nii ukiingia magogoni....ila ukishaingia mambo yote ni tofauti.....watch out!
 
dahhh nafasi hii ningepata mie kumbeba rais mtarajiwa..hahaaaa ningekuja kuwaonyesha wajukuu zangu picha hii
 
Anajaribu kusoma nyakati amkumbuke ata kwenye lilie geti la ikulu akilinda na wale maharamia ffu

JAMA KANIMEGEA ALIPOMFIKISHA AKAKABIDHIWA UPAKO WA KOFIA YAKE ALIYOIVAA YA CHADEMA
SAFI KIJANA KP T UP
 
Hamna lolote....sasa mpeni nchi muone.....mi kwangu wote hawafai ndio maana sintopiga kura....kwa nje ni rahisi kuropoka kuwa utafanya nii ukiingia magogoni....ila ukishaingia mambo yote ni tofauti.....watch out!
wewe ndo unafaa?
 
ulimbukeni mwenginne! hahaha! na yule wa mgongoni anafurahi
 
Huyu ZAMAZAMAN,Niwazamani kweli au vipi,Maana naona bado anamawazo ya kizamani au huyu ndio wale vibaraka wa #1
 
..... Jamaa kucheza mziki naye anatafuta balance. Ama kweli hatari kweli kweli. Anaogopa chali jangwani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom