Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

Sijui kama tunaelewana, hao uliowatolea mfano wako unajua walipata lini hayo maeneo yao? wao walijua mapema hivyo vyuo vitahitaji maeneo ta kutosha ndio wakatenga, simply walikuwa na long term plan... long time ago.

Sisi baada ya kuchelewa na hizo fikra ndio tunakuja kukurupuka wakati huu ambao population ya eneo husika imeshaongezeka, ni kulipa fidia tu, au kama kuna taasisi za serikali zenye maeneo waongee nazo wapatiwe eneo wanalohitaji.
 
Unasahau, issue ni kuwa 50 acres hazitoshi, ndiyo nikatoa ulingnisho. Hilo tmelimaliza.

Pili, Bado hatujachelewa, kwani maeneo ya USA waliyapata baada ya miaka mingapi ya uhuru wao? Bado tuna maeneo makubwa sana yako tupu au lowly inhabited and therefore can be available for such an important public project.
 
Naona umeshanifunga mdomo na "hilo tumelimaliza" hahaaa okk.

The rest, paragraph yangu ya pili inakujibu.
 
Chuo kikuu ekari 50,unajoki?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ki- geografia eneo la ekari 50, ni kubwa kwa miundobinu ya chuo hapa africa ....
Unless otherwise kama wanataka kufungua chuo cha kilimo.. na Engineering ndo zinakuwa na workshops nyingi za practical...
Ila kwa kawaida ekari 50, si ndogo kwa investment....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajenge magorofa mbona eneo kubwa sana
 
Badala ya chuo kimoja kuwa katika mikoa mingi kwa nini kusiwe na vyuo vipya kabisa vinavyojitegemea katika hiyo mikoa?
Protocal ya kusajili vyuo vipya ni long term plan .. kuliko kuwa na branches..., hata ivyo vyuo vingi vikubwa duniani vinakuwa duniani..
Zinatakiwa viwe branch nyingi ili kukuza kipato chao wenyewe bila kutegemea serikali ..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwaiyo kwa akili yako unafikiri kikwete hajui hilo
 
Tatizo wanaosomea mipango sizani kama UDSMwalikuwa nao.
SUA wana maeneo makubwa sana hapa nchini karibu mikoa mitano.

IFM wana eneo kubwa sana mkoa wa pwani.
UDSM wanangojea mawazo ya wanasiasa wawaamulie.
 
Mbeya ni kubwa na kunamaeneo mengi Sana ambayo Yana ukubwa zaidi ya hekari 1000
unaweza jenga chuo sehem moja chenye hadhi sio kujenga hapa na kule kama sijui vitalu....
 
Lakini niulize swali? hicho chuo kinataka kulima au kufundisha wanafunzi? hivi kweli unahitaji hekali 500 za chuo kwa ajiri ya nini? Pale Dar sidhani hata kama zinafika hizo hekali 1000 na zimewashinda wameanza wamezijengea mlimani city & more are coming.
[/QUOTE]
mbeya kuna dhahabu labda wanataka kuimarisha ulinzi.
 
mbeya kuna dhahabu labda wanataka kuimarisha ulinzi.[/QUOTE]Hiko chuo kilicho.jengwa mo. Kina miaka mingapi?

Halafu fikilia miaka 100 ijayo.baada ya hiyo iliyopita.
 
Ni ajabu Sana viongozi wa Mkoa wa Mbeya kuwa wazembe kiasi hiki.

Hii ni fursa si tuu ya chuo bali kitajengwa hospital ya kufundishia ambayo itatoa huduma kwa watu wa kawaida kama ile ya Benjamin MKapa Dom na Mlonganzila .

Mh.Mstaafu kama wanazingua hamishieni chuo hapa Sumbawanga Rukwa kuna maeneo ya kutosha na MUST Wana kampasi yao huku pia.
 
Mbeya tayari kuna vyuo vya serikali vya MUST na Mzumbe kwa nini visipanuliwe hivyo na viwe vikubwa kama UDSM badala ya kuendelea kuhamishia matawi ya vyuo vingine huko?
Kawaulize wenye hivyo vyuo ila Udsm wanataka koleji yao inayotoa gani za udaktari ,hivyo ulivyovitaja havina kozi za udaktari.
 
JK hajaanza leo kuongelea hili suala.
Kila mahafari analiongelea,sijui maviongozi ya Mbeya yana shida gani,wanashindwa kwenda kwa Waziri wa kilimo wachukue mashamba ya hapo uyole? Mashamba yanafanya nini mjini? Na kule jirani na MUST kuna mashamba ya kutosha plus hapo ulipo mnara wa TBC kuna maelfu ya ekari za wazi..

Huu ni.uzembe nanuhujimu..Opposite na Songwe airport kuna eneo pia tatizo nini hapo Mbeya?
 
kwa sasa hawezi maana angetaka angefanya akiwa Raisi na hata kama itawezekana itakua ni mpango mwingine
Anaweza mfuata Rais akamuomba issue hii maana Hawa wapuuzi wanazingua kila mahafari hoja huwa ni hiyo tuu..

Na Waziri wa elimu yupo kimya ,wanataka kuhujumu Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…