Rais mpe Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa

Nyie ndio wale ambao mwisho wa siku mnazifanya rasilimali za nchi kuwa mali za familia
 
Jenista chawa sana sasa kapiga magoti ya nn ??? Mke mwenye mume kasimama .afadhali gumukufa umbwa
 
Ni mawazo ya kimaskini sana kuwaza kuwa inapendekezwa apewe ubunge ili kumsaidia kujikimu kifedha la hasha ! Hana tatizo la kiu humi kla bado mchango wake kwenye hili Taifa unahitajika sana! Hasa kwa kuwa anafahamu mipango alihokuwa nayo JPM ya kuliendeleza Taifa letu.
hakuna hoja hapa yaani mipango ya jiwe na mkewe alikua anaijua are you mad ,mke mwenyewe alikua anachezea mingumi daily , na ukitaka kuamini hilo ona anavyonawiri baada ya lile balaa kufa
 
Rais Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Pesa anazopewa zinamtosha mama wa watu hana makuu,asije chafuliwa kwenye siasa
 
Tumuache mama apumzike kabisa muda ukifika amtafutir kijana wake Joseoh post hata BoT hivi au ubalozi akapumzike nae.....au hata Authority's mojawapo kama kuwafariji kupunguza stress kwa mama ....
 
Back
Top Bottom