mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Pascal Mayalla unakwitwa huku
Ona mnavyohangaika😂😂😂 Hebu mwacheni kaka P Pascal Mayalla
Kwani lini aliwahi kusema anataka teuzi
Pascal Mayalla unakwitwa huku
Mama D mjua vyote vya bara na pwani jibu hoja acha kurukaruka
Yaani unakuta akili yake imeshindwa ku reason in constructive way,yaani pinga na utoe njia mbadala nzuri ya wewe unachokiona akilini mwako kuwa ni kizuriWas this necessary?
Hakukuwa njia nyingine yoyote kupingana nae bila kutaja hiki kiungo?
Maku we
Hajitambui huyo kwa laana hii uliyompa leo lazima agongwe na bodabod.Bila hiyo usingekuwa hapa duniani ukiitype kwa matumizi mabaya yenye kuidharau
Kwanini usideal na mtu mwenyewe unatutukana mama zako!?...
Hajitambui huyo kwa laana hii uliyompa leo lazima agongwe na bodabod.
Hapa tupo kusogoa tu hakuna lolote la maana tunapata. Ikifika jioni kila mtu kwenye kichaka chake sasa matusi sijui ya nini.Kuna watu wanaweza wakaongea kitu au kuandika kitu hadi ukatamani kuwauliza umri wao
Hivi wanavyovitamka kwa dharau na kuvifanya vionekane havina maana masikioni mwa watu huwa hawajiulizi kwanini vilifichwa? Mungu hakuviweka hivyo usoni?
Hapa tupo kusogoa tu hakuna lolote la maana tunapata. Ikifika jioni kila mtu kwenye kichaka chake sasa matusi sijui ya nini.
Kwani mama salima ni mjane?Kwahiyo ubunge ni zawadi kwa wajane?
Ni wazo zuri sana!! Halafu uwezo anao!! Mama ni msikivu naamini kabisa kuwa atalifanyia kazi pendekezo hili!!Rais Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Acha wivu wa k+k€ !!!Haki ya Mungu hii nchi kuna Mazuzu mengi Sana!
apewe ubunge Umesikia ana Shida? Ubunge ni mirathi? Au kifuta machozi?
Kenge Kama nyie ndio mnalakamika tozo halafu mnakuja na Mawazo finyu ya kuingia gharama zisizo na faida
Kumbe hata mirathi hawajampa,kweli huyu bibi ana roho mbaya sanaBadala ya kumpa mirathi yake wampe ubunge?
Ishu siyo shida ya pesa!! Ishu ni kumpa fulsa ya kulitumikia Taifa. Halafu anajua mawazo na mipango aliyokuwa nayo JPM. Ni modality nzuri ya kupata mwendelezo wa baadhi ya mawazo na mipango ya JPM.Nitamshangaa na mama Jannet naye akikuunga mkono mbawa wewe...,Anakula 80% ya mshahara wa Raisi,aliyepo madarakani...,Wasukuma mna shida kwenye ubongo enhe....?!
Kweli ukiona watu wahivyo ujue wana tatizo la afya ya akiliDah. Kwanini mnakosa hekima kabisa wakuu. Mbona ni hekima ndogo Sana tu inakuepusha na haya?
Ni mawazo ya kimaskini sana kuwaza kuwa inapendekezwa apewe ubunge ili kumsaidia kujikimu kifedha la hasha ! Hana tatizo la kiu humi kla bado mchango wake kwenye hili Taifa unahitajika sana! Hasa kwa kuwa anafahamu mipango alihokuwa nayo JPM ya kuliendeleza Taifa letu.Mawazo ya kimataga sana haya yaani wana waza kuteuana tu wala sio kingine , mjane wa Rais anayetunzwa kwa fedha za walipa kodi hadi na yeye atakapoaga dunia ubunge ni wanini labda