Jamani huyu mama anashida gani mpaka apewe ubunge. Nahisi anapata matunzo yote toka serikalini yeye pamoja na familia yake. Condolense yake pia si haba.Rais Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Nafikiri wamwache apumzike kliko kuanza kumpeleka Dodoma bungeni na kuanza public life ambayo naona yule mama anapenda maisha yke ya ukimya na sala kuliko kuonekana kwenye makongamano