Rais mpe Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa

Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
ILI IWEJE KWANI MARUPURUPU YA MZEE WAKE HAJAPEWA? KWANI ANALALA NJAA AU SHIDA YOYOTE YA FEDHA.KWANI UONGOZI NI ZAWADI KWA WATU FULANI.HFULANI.HUKU KUJIKOMBA NDIO KUMETUFIKISHA HAPA.KUMBE MNACHAGUANA KWASABABU NYINGINE NA SIO UWEZO, UZALENDO WA MTU.SIKU UKIACHA KUTUMIA UGIMBI AU CHIMPUMU AKILI ZITAKURUDIA
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Chato inakuwa mkoa au sijui nchi kabisa, ampe ukuu/ urais wa huo mkoa/nchi!
 
Pesa haishibwi, atakubali tu akipata fursa hii
Mama Janeth hawezi kubali hata kidogo! Yule Maza kwa kumuangalia tu,hua hapendi mambo mengi kama kina Salma Kikwete!

Tangu Mme wake amefariki,ulishawahi muona hata sehemu yoyote ya public hasa kwenye mambo ya serikali?? Jibu ni hapana,hawezi na wala hatakaa akubali! Naomba tumuache mama Janeth atulie tu huko aliko! View attachment 1974691
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
We bwege , hii Nchi msiifanye kama kitenesi.
 
Hapana yule mama siasa wapi na wapi.Labda Rais aanzishe taasisi fulani hata inayojishughulisha na mikopo kwaajili ya wanawake then Mama Janet au mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Lakini pia tumuombe Rais aibadilishe jina na kuiiita nchi ya kupeana na kurithishana vyeo.
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.

F65A6C65-E57A-4313-9AD1-2D028E2D9692.jpeg
 
Kwa hiyo ubunge umeshakuwa ni sandakalawe amina mwenye kupata apate hata kama hana haiba ya uongozi? Ila si mbaya kama yeye mwenyewe ni mwanasiasa apambane tu atakuwa mbunge
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Kuw first lady ni heshima kuliko huo ubunge..
ukizingatia miaka sitini apumzke mama etu.
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Nashauri kabla ya huo Uteuzi Kwanza aambiwe Mumewe amekufa vipi kwani wengine sababu ya Kifo chake mpaka leo bado Mioyo yetu haikubaliani nayo.
 
Back
Top Bottom