Kwa kiasi gani wafanya biashara wana hiyo "multiplier effect"?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilichomaanisha ni kwamba CDM sasa ni stronger than ever. Labda kiingereza hicho.
Sio kuchoka tu wana mwona msanii maamuzi mengi afanyayo yata mu cost. Sasa issue ka ya kagame watu wanaona anahatarisha usalama, issue ya DED kuwa katoa katoa ushahidi wa kweli kamtimua. Watu wamkumbuka jk na wanamuona hana karama ya uongozi. Magufuli ni mkali tatizo kakosa busara hekima na uvumilivu, pia inaonyesha hashirikishi wengine wampe taarifa sahihi.Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
maisha ya watanzania wengi yanaendelea kama kawaida mafisadi na wezi ndio wanalalamikaNchi haieleweki kesho itaamkaje,labda tutaambiwa tuliooa wanawake weupe tuachane nao!!
Wawekezaji/wafanyabiashara wameficha hela zao benki wakisubirk hali ya kibiashata iwe predictable.
Watumishi wa umma hawana security of tenure,yeyote anaweza kumfukuza yeyote mahali popote kwa sababu yeyote.
Wenye biashara hawajui TRA wataamkaje maana hata mahesabu ya kodi nasikia yanazidishwa ili kufikia lengo.
Bodaboda na trafic ni shida
Tuliambiwa elimu bure Leo tunachanga madawati
Sekta ya umma iko stagnant hakuna anayekubali kubuni kitu cha manufaa, hakuna viwanja vinavyopimwa wala nini,watumishi wanafanya conventional works,shughuli za kawaida za kila siku
Ndani ya Mwaka biashara nyingi zitakuwa zimefunga anzia grocery mpaka mahoteli na MADUKA madogo kwa makubwa!!
Magenge ya wapeleka umbeya ndio yanapewa nafasi kubwa kuliko kukaa na kusikiliza wataalam wanasemaje
well said...Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
Mashart yakujiunga ni Rahisi sana..muhimu uwe unamiliki simu hata elf 20 muhimu iwe na Internet
Ben utawekwa kwenye mikono salama shauri yako[emoji12]Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
mi ni mfanyabiashara mbona biashara zinaenda vizur sanamkuu uko sawa kabisa,biashara iko down sana, kila siku afadhali ya jana,kila mtu analalamika
Koma kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kiimani.unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli
magufuli anafanya vizuri watanzania wote wanamuunga mkonoSio kuchoka tu wana mwona msanii maamuzi mengi afanyayo yata mu cost. Sasa issue ka ya kagame watu wanaona anahatarisha usalama, issue ya DED kuwa katoa katoa ushahidi wa kweli kamtimua. Watu wamkumbuka jk na wanamuona hana karama ya uongozi. Magufuli ni mkali tatizo kakosa busara hekima na uvumilivu, pia inaonyesha hashirikishi wengine wampe taarifa sahihi.
Sio kuchoka tu wana mwona msanii maamuzi mengi afanyayo yata mu cost. Sasa issue ka ya kagame watu wanaona anahatarisha usalama, issue ya DED kuwa katoa katoa ushahidi wa kweli kamtimua. Watu wamkumbuka jk na wanamuona hana karama ya uongozi. Magufuli ni mkali tatizo kakosa busara hekima na uvumilivu, pia inaonyesha hashirikishi wengine wampe taarifa sahihi.
Malafyale umekuja na hoja zuri sana, bali ulichosahau ni kwamba kulikuwa na mazingira tofauti sana ndani ya Chadema katika chaguzi hizo ulizozitumia kushadidisha hoja yako. Wakati katika uchaguzi wa mwaka 2010 kulikuwa na utulivu mkubwa ndani ya CDM kiasi cha kupata wabunge hao chini ya Dk Slaa, katika uchaguzi wa mwaka 2015 CDM imeingia katika uchaguzi ikiwa na mpasuko, tena, uliochochewa na Dk Slaa huyo huyo akishirikiana na akina Dk Mwakyembe lakini bado CDM ikapata wabunge wengi! Hii maana yake ni kwamba CDM ilifanikiwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka jana kuliko wa 2015. Na kwamba kama DK Slaa asingechepuka CDM ingeweza kufanikiwa zaidi.2005-2010 Dr Slaa akiwa HANA RUZUKU kubwa aliongeza wabunge kutoka 11 hadi 24,ongezeko la wabunge 13
2010-2015 RUZUKU ya Milion 206 kwa mwezi,Bilion 2.5 kwa mwaka tukaongeza wabunge 11 tu,pungufu wabunge wawili
Ukichora graph utaona inakuwa negative
Kwa ruzuku hii kubwa,kwa nguvu ile ya Dr Slaa na wenzake kabla hawa wageni hawajaja kutuvuruga ilipaswa tupate at least wabunge wapya 50 + hata kama tusingeshinda Presidency
Mbowe na wenzake wametuchezea sana!
Wewe huyu ni MalaikaSasa mbona unauliza na kujijibu mwenyewe? Kwani ulitegemea yawe mazuri kwa 100% ? Hata yeye Raisi Magufuli si ni binadamu tu kama wengine ambaye pia hufanya mazuri na pengine hukosea pia kama mimi na wewe tulivyo?
endeleeni kupiga mayowe. watumishi wa Mungu wako busy makanisani kumuombea. hata wabunge wenu huwa wanaitikia dua mbele ya Maadam SPIKA baada ya kumuombea rais wanakimbia nje.Koma kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kiimani. K. I... Jingaaz
Kejeri mkuu soma nchi nilizozitaja na maisha ya watu wao.Cuba wana maisha mazuri...? Labda unaongelea Cuba nyingine siyo hii ya Fidel Castro!
UMEJIBU. KISOMI. SANATaarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.