Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Subiri spin doctors kutoka mtaa wa lumumba waonyeshe mafanikio makubwa kabisa ya kihistoria ya raisi huyu ambaye taifa hili lilimhitaji kwa miaka mingi 😀😀😀

Mafanikio ya kufyatua watoto?

Hahaaa jamaa ni bomu sijapata kuona!
 
Magufuli ni adui wa maendeleo!

Hafai kabisa kuwa rais.
Maendeleo hayaletwi na magufuli,bali maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,hebu tuambia zaidi ya kuleta urojo humu mtandaoni ni kipi cha maana ulichokifanya hadi nawe ujinasibu.Nyie wana Chadema acheni ujinga wenu kama wewe unaona hafai basi nawe hufai kwa kutaka kutuletea mafusadi
 
Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.

Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu rasi Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.

Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
Mkuu pole sana kwa kuchelewa kulijua hili,wakati ule tulipokuwa tunapiga kelele ulitukebehi sana. Ila nakupongeza kwa ujasiri wako huu.
 
Watu wakichoka wataisema historia yake hasa matatizo ya ukoo na wataanzia kwa babu yake mwenye hilo jina.
 
Maendeleo hayaletwi na magufuli,bali maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,hebu tuambia zaidi ya kuleta urojo humu mtandaoni ni kipi cha maana ulichokifanya hadi nawe ujinasibu.Nyie wana Chadema acheni ujinga wenu kama wewe unaona hafai basi nawe hufai kwa kutaka kutuletea mafusadi
unadhani kila mtu CHADEMA?
 
Mkuu, hii sentensi yako ndio mambo ambayo Wananchi walimpa kura ili ayatekeleze?

Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
 
Bahati yako umejificha huko ughaibuni, ungekuwa bongo kesho mapeema ungeswagwa kisutu.
 
Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.

Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu MTUKUFU rais Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.

Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
Heri mimi sijasema
 
Maendeleo hayaletwi na magufuli,bali maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,hebu tuambia zaidi ya kuleta urojo humu mtandaoni ni kipi cha maana ulichokifanya hadi nawe ujinasibu.Nyie wana Chadema acheni ujinga wenu kama wewe unaona hafai basi nawe hufai kwa kutaka kutuletea mafusadi

Huyo MTUKUFU wako kipi cha maana alichokifanya mpaka sasa zaidi ya kuwaaibisha tu Watanzania?

Rais mzima anahimiza uzazi usio na mpango!

Hata busara za kutambua tu kuwa malezi ya watoto si elimu ya bure, hana!

Wahshi kabisa!
 
Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.

Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu MTUKUFU rais Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.

Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
Well said bro.
 
Mkuu, hii sentensi yako ndio mambo ambayo Wananchi walimpa kura ili ayatekeleze?

Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
wananchi wa wapi?
 
Back
Top Bottom