Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Bwana kiherehere kagota tangu a tukae pemba na ma god own ya chuo kikuu kaufyata
 
Huyo hakuna kitu......,CCM walibug sana, huyo ndo anaenda kuwa raisi mbovu kuwah kutokea Tz Hamna lolote....2020 tupa kule kabisa aisee
 
tuzid.kumuombea.kw.mungu.kiongoz
wetu.hata.tukilalamika.haina.maana.mungu.amjalie.neema.y.utekelezaji.t
 
Mimi nilimsikiliza Rais wa Namibia Hage somebody. You would love to listen to him the way he had respect for peple,s power, transparency and accountability.
 
Huyo hakuna kitu......,CCM walibug sana, huyo ndo anaenda kuwa raisi mbovu kuwah kutokea Tz Hamna lolote....2020 tupa kule kabisa aisee
Baadhi yetu tuliliona hilo tokea awali kabisa....
 
Nimekuelewa sana hoja yako, hivi tujiulize ni mambo gani amekurupuka na ni mangapi hajatumia busara?
Katika kipindi cha nyuma watu walilaumu sana viongozi kusita/kuchelewa kuchukua maamzi, pia suala la kuogopana na kulindana lil kuwa kikwazo cha maendeleo, Saizi imekuwa kinyume chake lkn bado unaona mabaya tu.

Sasa lipi zuri?
Hatukuhitaji spidi tu katika kuchukua maamuzi bali Speed & Accuracy, sio leo unateua mara kesho umetengua, leo umesema hili kesho unapinga, wakati huo huo unaligawanya taifa kwa kauli zisizo eleweka.
Mfano unajinadi serikali yangu haitashirikiana na wapinzani muda huohuo umekwisha mchagua Kiongozi wa chama cha upinzani kua mwenyekiti wa parole, hapo ndipo tunaona madhara ya kua na speed bila accuracy au maamuzi ya ki mwendokasi.
 
Kiuhalisia raisi hana dira kabisa....anatupitisha machakani tuuuu...daah yaan inakera sana, kwa mda wa miaka mitano taifa litarudi zero kabisa
 
Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Ulionya kama nani? hivi unajua haya yote mmeyasababisha nyie wenyewe na unafiki wenu mlidhani watanzania ni wale wale wa kidanganya siku zote?lichange gia angani na wananchi waliamua ku change gia angani huko huko sasa ona tunavyo teseka, usaliti wenu ndio uliompa mtukufu kiti cha enzi. maana tulishindwa tumchague nani kati Ya Edo na Magu.
 
Yaani kote kote hakuna nafuu!
 
Kuongoza kwa sifa creates a very big mistake huyu jamaa anastahili kupimwa na kukemewa kwa nguvu zote kwa blunders zote anazofanya kwan wakenya husema" ukimwona nyani anakula mahindi kwenye shamba la jirani basi huna budi kumfukuza kwani huwez jua kesho atakula mahindi ya xhamba la nani"
 
Ni hatari kubwa naiona iko mbeleni .... Majuzi nilimsikia akisema kuna mtu wa serekali alikuwa ana kisima na wananchi
wakimuomba maji huwa anawakatalia, akawaambia wananchi kua mtu wa aina hiyo anapaswa kukamatwa
adumbukizwe kisimani anywe maji yote..... na wananchi wakawa wanashangilia. Hii nchi ina watu wa ajabu sana
 
Hivi lini huwa mnaeneza sera za vyama vyenu? Kila kukicha Magufuli hivi, Magufuli vile. Ikifika 2020 hamjafanya chochote. Mkishindwa, mnalalamika mmeibiwa kura.
 
Sasa si usha
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Sasa si ushangilie maana wewe fikra zako unawaza kushindwa??
 
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Ficha ujinga wako uonekane mwerevu
 
Back
Top Bottom