[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mkuu. (Ila inawezekana kabisa hilo ulilosema)Mimi kila siku naomba asifike kituo cha mabasi cha Ubongo saa kumi na mbili asubuhi. Maana akiona mabasi yanavyokwenda mikoani na idadi kubwa ya wasafiri, anaweza kusema " Marufuku mabasi kuondoka Dar, watu wote hawa wakiondoka nani atafanya kazi?"
Je unamjua mteuliwa wa CCM wa nafasi ya urais na baada ya kusimikwa hapo ambaye hajamaliza 5? au 10?Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Ndio sababu wameamua kuukimbia na kutoa tamko la kuhamia mji wa zabibu, (Dodoma wine).
Bunge hili ambalo ni jipu? Bunge, jimbo la Ikulu?Bunge linaweza mfukuza kazi Rais
Lkn Bunge hili la TZ ambalo Rais anaogopwa hata kuhojiwa kwa kauli zake za hovyo kama hizi?
Katiba ya Sitta inampa nguvu Rais kuliko hii ya sasa!Kuna kipengele mle kinasema Rais anaweza kukuweka Mahabusu"akihisi wewe ni tatizo la usalama wa Taifa"Bunge hili ambalo ni jipu? Bunge, jimbo la Ikulu?
Nioneshe Mbunge mmoja wa chama cha majipu, ufisadi na unafiki anayeweza kupeleka hoja ya kumtumbua Rais.
Ile Rasimu ya katiba ya Mzee wa vijisenti na Sitta iliyodhaminiwa na CCM inatoa nafasi hiyo ya kumtumbua Mkulu?
Mizimu ya ikulu imemfukuza ndyomaana anakimbilia dodoma. Ckuiz halali ikulu.Unaweza kushangaa ukasikia ikulu inapigwa mnada wiki ijayo, si unakumbuka alivyosema na hajatengua kauli yake
Huku kitaa wanakosa usingizi kwa kukosa sukari kwa bei elekezi.Si mlisema Kikwete dhaifu, haya hangaikeni na Magufuli mbabe. Mlisema nchi hii inataka Rais mwenye uthubutu wa kidikteta kama Kagame ili mambo yaende. Mkamsifia Kagame mkamponda Kikwete, haya Magufuli, bado mnataka Rais asiye dikteta. Kiongozi hawezi kuwarudhisha waongozwa wooote. At least waliompigia kura ya hapana watampinga hata afanye mazuri yote, watayapinga.
Magufuli chapa ilale...
Shangwe zakununuliza izo nazo niza kujisifia?Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Hilo changa la macho hilo, suluhisho lake ni dogo sana..!!Je unamjua mteuliwa wa CCM wa nafasi ya urais na baada ya kusimikwa hapo ambaye hajamaliza 5? au 10?
Kwa tume ipi ya uchaguzi? Ya Kivuitu?
Uchaguzi mkuu Tz ni changa la macho tu. Wenyewe wanateuana, kusimikana na kupokezana kijiti tu.
Only in Tzhahahaha! eti kwa heshima! wakat huyu aliyechukua kijiti analilia kaachiwa nchi imeoza! kuozesha nchi ndo heshima?!
Kifupi tu hajajua ni jinsi gani anatakiwa kuiongoza nchi hii na sababu ni kutokana na kutokuwepo kwa maandalizi timilifu ya yeye kama yeye kabla hajakabidhiwa kijiti na mtangulizi wake.Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Upinzani kwa umoja wao,wapinzani Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwa CCM. Tangia 1995 wanapeleka kichwa kunyolewa, mwisho wake wanaishia kama Dr. Mihogo na maharage, Prof. Nafsi imenisuta, Mrema aliamua kufanya biashara na mtumbua Majipu na Ngosha Cheyo aka "Nitawajaza Mapesa" anajisifia kuwa angalau wamepata kuwapiku wakwere kwa kutoa Mtumbua majipu.Hilo changa la macho hilo, suluhisho lake ni dogo sana..!!
Wana jitahidi sana kupunguza makali ya wapinzani kwa kuwarudisha nyuma huku wakiwasahaulisha ajenda muhimu zilizokuwa zinaelekea kuzaa matunda.
Sasa hivi swala la katiba limemezwa na swala la ukandamizaji demokrasia wakati huo siku sinasogea, na mafanikio yatakayotakana na swala la katiba ndio mwarobaini wa hilo "changa la macho"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] solution ni nini mr?Upinzani kwa umoja wao,wapinzani Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwa CCM. Tangia 1995 wanapeleka kichwa kunyolewa, mwisho wake wanaishia kama Dr. Mihogo na maharage, Prof. Nafsi imenisuta, Mrema aliamua kufanya biashara na mtumbua Majipu na Ngosha Cheyo aka "Nitawajaza Mapesa" anajisifia kuwa angalau wamepata kuwapiku wakwere kwa kutoa Mtumbua majipu.
Ukiwekeza kwa CCM wanakugawia umasikini, ukiwekeza kwa wapinzani unanunua kesi ya kubambikiziwa na polisi.
Solution ni kuacha kufanya siasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] solution ni nini mr?
Nini hasa kifanyike na kwanini?
Hiyo ni nadhaharia tu kwa sasa.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Mkuu tatizo wengi mnadhani kuwa mtu aliye serious ni yule aliye kunja ndita!walizoea kuchekewa chekewa saivi magufuli hacheki hovyo. kama hawataki waache kazi full stop
Mkuu pamoja na huu u hovyo wa wazi wa upinzani, nje ya dola ccm ni hovyo zaidiCHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
CCM hawafai kabisaMkuu pamoja na huu u hovyo wa wazi wa upinzani, nje ya dola ccm ni hovyo zaidi
Huyu jamaa hafaiDah! huyu jamaa kweli ni shidaa lkn hakuna chama cha kumtoa kama ndo sijui UKUTA mara Lowassa fisadi mara sio fisadi