Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau kwa Utendaji Kazi wa Dr John Magufuli Naona ni Miujiza tu ya Mola wetu Kutuletea Kiongozi wa Namna ya Kipekee ambaye Kiukweli Hata Katika Zoezi la Uteuzi ndani ya Chama Chake Hakupewa Nafasi Kubwa Sana. Wengi Wetu Tuliwapa Nafasi na Kuwatabiria Makubwa Vigogo Waliobobea Kwenye Siasa,Wenye Nguvu Kubwa za Ushawishi bila kusahau Uwezo Mkubwa Sana wa Kiuchumi.Palitokea Hadi 'Manabii' Waliotabiri Tena kwa Kujiamini kuwa baadhi ya Vigogo Hao Wangefanikiwa Kupata Fursa ya Kuongoza Nchi hii Kwani Wao ni Chaguo la Mola.
Hata hivyo Muumba Wetu nae ana Njia zake na Mipango yake na ndio maana ametuletea Mhesh Dr. John Magufuli ambae Ni Mfano Halisi wa Mpakwa Mafuta Aliyeteuliwa na Bwana.
Nimekumbuka mengi hususani Habari Moja ya Siku Nyingi Kidogo ikionyesha na Kuthibitisha Ukuu Wake Aliye Juu.Nimeona Ni kariri Kidogo Sehemu Kidogo ya Masimulizi Hayo.
'Yese Akawapitisha Wanawe 7 Mbele ya Samweli , Samweli Akamwabia Yese Bwana Hakuwachagua Hawa!
Kisha Samweli Akamwambia, Watoto Wako Wote Wako Hapa? Akasema Amesalia Mdogo Wao na Tazama Anawachunga Kondoo.
Akamwambia Tuma Watu Wamlete kwa Sababu Hatutaketi Hata Atakapokuja Huku. Basi Yese Akatuma Mtu Nae Akamleta kwao.Bwana Akasema Ondoka Umtie Mafuta Huyu NDIYE'
Tuendelee Kumuunga Mkono Mpendwa Rais Wetu ili Aweze Kutimiza Malengo ya Kuwaletea Watanzania Walio Wengi Maendeleo ya Ukweli na Kuwaondolea Katika Dimbwi la Umaskini Mkubwa.Aidha Tuzidi Kumuunga Mkono Kwenye Vita Dhidi ya Mafisafi, Wala Rushwa, Wanaotumie Madaraka Vibaya n.k. Aidha Tuzidi Wote Kwa Umoja Wetu Kushikamana na Kupambana na Wasaliti,Wahaini, na Vibaraka Wote Wanaotumiwa na Mataifa ya Nje Kudhoofisha Juhudi za Dhati za Mhesh Rais Wetu Kuhakikisha Kuwa Rasilimali Zetu Zinaleta Manufaa Kwa Watanzania Wote Badala ya Kuwanufaisha Wachache.
Karibuni.