Rais Magufuli wewe ni David mtoto wa Jesse

So, vipi kuhusu david kumtamani mke wa ulia na kumtia mimba, kisha akamtuma ulia front line vitani nchi ya mbali, sounds familiar eeh??
 
Laana ni wew alichosema kimeekeweka mamlaka yaliyobaki anayomungu sasa laana I atoka wapi wew unataka kuchukua nafasi ya Mungu umsifie mwezako nawew utasifiwa ukiona wivu mwezio hakifanya vizur hizo ni hila za kisgetani si roho ya Muumba wetu wana warusifa huona hila wawaonapo wengine wanafanikiwa ndo maana unaona watu wanaloga ni hila tuu hakuna kingine Mungu kakuoamgia kazi yako ukiifany vizur utaeshimiwa na kupongezwa kama hauna basi jaribu hata kuilea familiya yako vyema ishi kwa maadir napo tutskupongeza naisi umenielewa ''''ongera Rais Magufuli kwa kazi nzito Mungu azudi kukupa nguvu ya kutuongoza watanzania""""
Haya maandiko muende facebook ***** zenu
 
Kwa mafisadi, wabinafsi na wenye akili zinazotazama usawa wa pua, ndiyo wanaoona kuwa ni wa aina hiyo. Kwa wazalendo ni kinyume chake.
Huyu magufuli ni mzigo!
Limzigo hili Mungu atuepushie kwa namna yoyote ile.
 
Daudi alitekeleza kusudio la Mungu pamoja na madhaifu mengine. Kila mmoja Mungu kamuumba ili atekeleze jambo fulani. Mungu anajua katika kutekeleza hayo kuna changamoto mbalimbali ikiwemo udhaifu wa Kimwili. Dhamira njema na Moyo wenye nia njema ni msingi wa msamaha na baraka pia.
 
Tanzania kuna viazi vingi sana

Na vimeenea kila kona
622ad1bda490534bd4182b4ee90e1167.jpg
 
Back
Top Bottom