Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

Wachina hawapo nyuma katika matumizi ya internet ndiyo maana wamepiga hatua namna ile, na ushahidi mmojawapo ni simu za kichina karibu zote zina access ya internet.
 
Tatizo siyo Mitandao ya kijamii, tatizo ni hoja zilizotolewaserikali haina majibu sahihi, rais hana majibu ya kuturidhisha Watanzania zaidi ni kututisha na pia kupitia mitandao ndo mahali peke tunaweza kueleza hisia zetu.
 
..lenyewe kwa vile halisafiri nje halijui kinachoendelea kwenye nchi za watu....huko China mitandao ya nje imekua sensored na great firewall yao...lakini wana mitandao yao mbadala kama QQ..wechat...weibo etc etc....
...yani mhutu kuna wajinga huko ikulu wanamdanganya yeye anabeba tu....hajui hata wachina wao RAIA wao wana kila kitu mithili ya kutoa hata misaada kwa banana republics kama tz....sasa mhutu yeye anajilinganisha Na China! My foot...yani anashindwa kuwa Na analysis ya tofauti yetu Na China...hadi kufikia kuongea utumbo ili kujustify lengo lake ovu la kufunga mitandao tz ili watu wasiongelee madudu yake kabisa.....vile sasa ameshadhibiti TV zote tz...

...something needs to be done in tz..this shit needs to end.....

For sure something has got to be done real quick before this mad man take the country to grave along with him....While other countries are busy working towards technology revolution even further with the latest technologies, 5G, IOT, MEC,Big data etc...we on the other hand have a rocket man here declaring war on technology!!...What a reality!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Madikteta Mkuu hawana uwezo wa kujenga hoja zenye nguvu ni WATUPU hivyo wanaona ni bora watumie vitisho ikiwemo kuteka, kutesa na hata kuua ili kuwaogopesha raia na hivyo kuweza kuwanyamazisha.

Tatizo siyo Mitandao ya kijamii, tatizo ni hoja zilizotolewaserikali haina majibu sahihi, rais hana majibu ya kuturidhisha Watanzania zaidi ni kututisha na pia kupitia mitandao ndo mahali peke tunaweza kueleza hisia zetu.
 
Jaribu kutafuta falsafa ya huyu mtu harry_truman utaweza jionea mwenyewe alicho ongea juu ya uraisi nikiendelea ninmengine tena yatakuja
 
Madikteta Mkuu hawana uwezo wa kujenga hoja zenye nguvu ni WATUPU hivyo wanaona ni bora watumie vitisho ikiwemo kuteka, kutesa na hata kuua ili kuwaogopesha raia na hivyo kuweza kuwanyamazisha.
But leadership by intimidation never last longer.
 
Rais Magufuli leo akiwaapisha Majaji 10 aliowateua pamoja na Mawakili amesema kuwa Watanzania tunaamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Hii inatokana na kutoku-control mitandao hiyo wamiliki wako huko wao interest yao ni kutengeneza biashara wala hawajali consequences zitakazotokea

> Rais Magufuli ameongeza kuwa hadhani kama ukienda kwenye nchi kama China utakuta wana 'Google' na 'WhatsApp' kama hizi za kwetu huku

> Rais Magufuli: Kila Mtu anapojifikiria anapost chochote kwenye mitandao ya kijamii

Rais ameelezea tabia ya kuamini mijadala ya mitandaoni kama ugonjwa ambao hafahamu umetoka wapi. Ameeleza kuwa siku moja alikua akisoma mtandaoni kuhusu serikali kuiba Trilioni 1.5 ikabidi ampigie CAG kuuliza kuhusu wizi huo

======
Ikumbukwe kuwa mnamo Septemba 28 mwaka 2016 Rais Magufuli alinukuliwa akisema kuwa ''Anatamani Malaika washuke wazime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''
alivyobana uhuru wa wafu kutoa maoni/shughuli za vyama vya siasa nk akajua kazi imeisha, asijue huku mitandaoni ndio watu wanapumulia. kweli vichwa vya science vimezoea kukariri. mwambieni atuongoze asitutawale.
 
Kwa upande mmoja yupo sahihi...

Mitandao ikitumiwa vibaya huleta machafuko, ikitumiwa vizuri huleta maendeleo...

Na ni ngumu sana kui-control mitandao kwa sababu taarifa kwenye mitandao husambaa kwa spidi ya mwanga...

Cc: mahondaw
 
Mfano wa marehemu ndio mfano halisi na kile alichokuwa anazungumzia JPM, kwamba mtu anaona Ah achana nibandike hili mtandaoni bila kufikiri madhara yatakayo tokea upande wa pili. Ndio maana nikasema kama kungekuwa na somo la kujifunza jinsi ya kujali kile tunacho andika labda upotoshaji ungepunguwa kwenye mitandao.

Swala la fedha kupotea ni swala la watanzania na mimi silipingi, nacho kipinga ni kutokuwa na uhakika na swala lenyewe. Je ni kweli hizo fedha zimepotea? ni kweli kuna mtu serikalini au kwenye taasisi yoyote aliyenufaika na upotevu huo? haya ni maswali halali na ya msingi. Lakini mtu ukiandika halafu inakuja kujulikana hakuna kilichopotea, yule aliyeandika uwongo tumfanye nini au atakuja kuandiaka samahani kwa upotoshaji wake? ELimu ya mitandao ni muhimu kwetu sote, mitandano ni moto wa msituni ukiwaka umewaka, hakuana atakayejitokeza kuuzima.
ongeza na swali hili.... je ninani aliyesema kuna pesa zimepotea? huyo aliyesema hazijapotea ndiyo mwizi wetu. zitto nz asad walisema hazijulikan zilipo.mbona hamuelewi? 1.5 trilion ziko wapi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Rais Magufuli leo akiwaapisha Majaji 10 aliowateua pamoja na Mawakili amesema kuwa Watanzania tunaamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Hii inatokana na kutoku-control mitandao hiyo wamiliki wako huko wao interest yao ni kutengeneza biashara wala hawajali consequences zitakazotokea

> Rais Magufuli ameongeza kuwa hadhani kama ukienda kwenye nchi kama China utakuta wana 'Google' na 'WhatsApp' kama hizi za kwetu huku

> Rais Magufuli: Kila Mtu anapojifikiria anapost chochote kwenye mitandao ya kijamii

Rais ameelezea tabia ya kuamini mijadala ya mitandaoni kama ugonjwa ambao hafahamu umetoka wapi. Ameeleza kuwa siku moja alikua akisoma mtandaoni kuhusu serikali kuiba Trilioni 1.5 ikabidi ampigie CAG kuuliza kuhusu wizi huo

======
Ikumbukwe kuwa mnamo Septemba 28 mwaka 2016 Rais Magufuli alinukuliwa akisema kuwa ''Anatamani Malaika washuke wazime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''
Wakati wa kampeni mitandao ilifanya kazi yake na ilileta ushawishi mkubwa.Wakati ule ilitumika ila leo tunaombwa kuitilia mashaka.
Haya,hapa ndio kwetu na JPM ndiye Rais wetu mpaka 2025.
 
Kiswahili hakina namba.
34 waswahili wanaiita thelasini na nne. Kwa wazungu kitu hicho hicho hawaiti hivyo ila thirtyfour.
Ita utakavyoita kwa lugha yeyote namba ni ile ile 34.

Kwenye taarifa ya serikali kuu, section 4.6 (a) ipo kwenye taarifa ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Kwenye taarifa ya lugha ya Kiswahili inapatikana kwenye kurasa kuanzia 36 mpaka 37. Kwenye taarifa ya lugha ya Kiingereza section hiyo hiyo inapatikana kurasa kuanzia 34 mpaka 35.

Swali langu ni kuwa huo ukurasa wa 34 ni wa taarifa kwa lugha ya kiswahili au Kiingereza?
 
Rais Magufuli leo akiwaapisha Majaji 10 aliowateua pamoja na Mawakili amesema kuwa Watanzania tunaamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Hii inatokana na kutoku-control mitandao hiyo wamiliki wako huko wao interest yao ni kutengeneza biashara wala hawajali consequences zitakazotokea

> Rais Magufuli ameongeza kuwa hadhani kama ukienda kwenye nchi kama China utakuta wana 'Google' na 'WhatsApp' kama hizi za kwetu huku

> Rais Magufuli: Kila Mtu anapojifikiria anapost chochote kwenye mitandao ya kijamii

Rais ameelezea tabia ya kuamini mijadala ya mitandaoni kama ugonjwa ambao hafahamu umetoka wapi. Ameeleza kuwa siku moja alikua akisoma mtandaoni kuhusu serikali kuiba Trilioni 1.5 ikabidi ampigie CAG kuuliza kuhusu wizi huo

======
Ikumbukwe kuwa mnamo Septemba 28 mwaka 2016 Rais Magufuli alinukuliwa akisema kuwa ''Anatamani Malaika washuke wazime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''
Ninatiwa moyo sana na kupata faraja kuwa anaufahamu umuhimu wa mitandao ingawaje ni pale tu inaposema mazuri yanayotajwa kwake. Ikisema vingine hiyo haifai. Mweshimiwa ukipenda boga penda na ua lake.
 
Back
Top Bottom