Rais Magufuli: Watanzania kuamini kila kitu cha kwenye mtandao ni kutokana na sisi kutoi-control mitandao

Yaani una post maneno ya Zitto kama umeandika wewe. Sio fair. Weka source vinginevyo ni uhuni wa kiuandishi.
Mkuu hata Mimi nilipokua nikisoma comment yake nimejikuta nascroll kurudi juu nione kama ni zitto mwenyewe akiwa verified user. Jamaa kachukua maneno Kama yalivyo hata kucredit hakuna!!!
 
Naheshimu mawazo yako maoni yako pia, lakini ni mapema sana kujiaminisha kama wizi au uwongo ulisemwa na yoyote yule kwa kipindi hichi maana kamati ya PAC ndio inapitia vijitabu na bado haijawaita wahusika ili kutowa maelezo ya kina. Hapa kinacho endelea ni siasa kati ya ACT na CCM kila mmoja anavutia upande wake Ukweli utajulikana pale mahesabu yatakapopitiwa upia na kamati za bunge na wahusika kutoa maelezo ya kina.
Now you are talking, ingawa kwa usahihi zaidi, CCM ndiyo inaleta siasa hapa. Alichofanya Zitto so far ni kuisoma vizuri ripoti ya CAG. na ukimsikiliza CAG mwenyewe pale alipohojiwa na Azam TV, alikubali kwamba kuna hiyo Trilioni 1.5 ambayo ni unaccounted for. ilikuwa rahisi kwake kusema "hakuna kitu kama hicho" pale JPM alipomuuliza "eti kuna trilioni 1.5 zimeibwa na serikali?" kwa kuwa mpaka sasa hatuwezi kusema kwamba zimeibwa, ila ni kweli kwamba hazina maelezo. kwa hiyo inabidi kumshukuru Zitto na chama chake cha ACT kwa kuliona hilo. ishu siyo maslahi ya serikali au ya JPM, bali maslahi ya taifa. siyo kila wakati CCM inasimamia maslahi ya taifa, na ni wajibu wa kila mtanzania kusimamia maslahi ya taifa, bila kujali ana mrengo gani. kinachusubiriwa ni maelezo sahihi ya kilichotokea kwa hiyo trilioni 1.5.
 
Nakubaliana na kipengele ulichosema "hazina maelezo" na mimi nasubiri hayo maelezo kabla ya kuanza kutupa lawama.
 
Kutokana na kuzidi kwa umbea na porojo za hapa na pale kwa viongozi wetu wakubwa na TAASISI KUBWA YA RAIS naunga hoja ya mitandao ya kijamii kusitishwa kwa kila mida ya Asubuhi mpaka jioni.
Na watu wafanye kazi kuliko kushinda mitandaoni facebook,whatsapp,jamiiforums. N.k

Na pia jamiiforums members wake woteee kutumia majina yao halisi na sio fake id.

Nakaa siti ya mbele kabisaa kusaidia juhudi hizi endapo litafanikiwa na kupitishwa.
 
Anza wewe kujitoa JF!
 
LUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Mambo ni
 
Kwa hiyo wapiga ndio walikuwa wameungilia huu mradi. Kwa sasa watashindwa na kuregea. Nimemnukuu mtani wangu tabibu magufuli.
 
Back
Top Bottom